Titanic sunk by steering mistake, author says

Titanic sunk by steering mistake, author says

Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Sasa mbona kuna wengine walikufa hata hawahusiki na hayo maneno ya kufuru, huyu mungu kwakweli bhana dah!
 
... Inasikitisha kwa uzembe kama huu!!

... Hatua zichukuliwe kwa walioficha ficha taarifa hivi!

Hata MV Bukoba ilikuwa uzembe kama huu huu tena na kuzidi.

Ku overload meli na watu pamoja na mizigo kliko uwezo wake.

Ilisemekana ilipokuwa imeleta shida, kuna jamaa anaitwa Genji, mwenye boats zina vusha abiria kamanga ferry, aliomba boat zake zisaidie kuvuta meli hiyo ili itoke kwenye kina kirefu isogee kwenye kina kifupi cha maji isije kuzama. Lakini sijui kwa hofu gani, viongozi walikataa wakasema kuna wataalamu wanakuja toka Dar wako njiani watakuja kuishughulikia.

Wataalamu hauo walippfika, meli inazama, wakatoboa eti sijui ndiyo wapate namna ya kuwaokoa raia ama vipi!. Kutoboa huko ndiko ikawa balaa ya meli kuingiza maji na kuzama kwa kasi hadi hayo yakatupata Watanzania!

Uzembe wa MV Bukoba. Lakin haikusemwa nayo!.
 
Sasa mbona kuna wengine walikufa hata hawahusiki na hayo maneno ya kufuru, huyu mungu kwakweli bhana dah!

Titanic yenyewe ni kufuru, upo juu / ndani ya kufuru halafu huhusiki na kufuru?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sababu kubwa ya meli ya Titanic kuzama ni kufuru.

Walioitengeneza meli hiyo walikufuru kwa kusema hii meli ni "unsinkable" ikimaanisha kuwa "haizami" wala "haizamishwi".

Hawakuishia hapo, walifikia hadi kukufuru kuwa hata "Mungu hawezi kuizamisha".

Mengine yatabaki kuwa ni stori tu, Mwenyezi Mungu akawaonesha kuwa Yeye pekee ni muweza wa kila kitu.

Kumbuka kuwa hata jina Titanic ni kufuru pia, linamaanisha mfano wa "Mungu" ambae hashindwi katika hilo alilotarajiwa.

Mwenyeezi Mungu akawaonesha asiyeshindwa ni Yeye pekee, asiyezaa wala kuzaliwa.
Aaaah janamke la nguvu Hilo, siku moja ntakualika BBC kwa mahojiano tofaut tofauti
 
Titanic yenyewe ni kufuru, upo juu / ndani ya kufuru halafu huhusiki na kufuru?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ninyi wafia dini ndio tatizo lenu hilo kila kitu mungu, hapo nikama ajali ya gari dereva kalewa gari imeanguka, watu wamekufa pia mtasema mipango ya mungu, inashangaza!
 
mtu mzima unaandika 'yeeuuwi', bando unananuliwa au? ila haina tatizo, ndio maisha uliyochagua hayo
We unaliwa ninii? Sasa unataka niandike unachotaka wewe, unataka kumpangia mtu maisha yake jinsi ua kuishi, shit get busy mtoto wa kiume, yeuwiiiiiiiiiiiiiie auwiiiiiiiiiuiiiiiie yeuwiiiiiiiiiiiiiiiie kelewiiuiiiiiiiuuuuiii
 
Kuna mambo ambayo ni magumu sana kwenye historia ya dunia.Mojawapo ya mambo hayo ni ajali ya iliyokua meli kubwa sana duniani iliyokua inaitwa Titanic.Meli hii ilipata ajali April 15,1912.Kuna jambo hapa nahisi haliko sawa,hebu na wewe jiulize,inakuaje tukio hili lifanane na hadithi?Kuna binadamu aliitwa Morgan Robertson,katika hadithi yake ya Futility aliyotunga mwaka 1898,inazungumzia meli ya kifahari iliyokua na jina Titan,iliyokua inafanya safari yake ya kwanza kutoka mji wenye jina la Newfoundland,England kuelekea New York,Marekani kugonga barafu kwenye bahari ya Atlantic na kuzama!Meli hiyo ya Titan haikua na majaketi ya kutosha ya kuogelea,pia ilikua na urefu wa futi 800,mwendo kasi wa Titan ulikua 25 kph.Ajali ya Titan ilitokea maili 400 kutokea ilipoanzi safari,ilipoteza maisha ya watu 2500!Hebu tuangalie Titanic,kwanza majina ni yaleyale,Titanic nayo ilipata ajali siku ya kwanza ya safari yake,nayo iligonga barafu kwenye bahari ile ile,na ilipata ajali hiyo umbali ule ule wa maili 400,ikitokea mji ule ule,ajali hii nayo ilitokea usiku wa kwanza na hakukua na majaketi ya kutosha kujiokoa,Titanic iliua watu 2200,ilikua na urefu wa futi 882.9,mwendo kasi wake ulikua 22.5!Tangu hadithi ya Futility itoke mpaka ajali ya meli ya Titanic ni miaka 14,kwanini matukio haya yafanane?Yalipangwa?
Pia tujiulize,je ajali ilipangwa kwa faida gani/ya nani?ukizingatia gharama ya hiyo meli ni kubwa mno.
 
...ongezea
-Abiria 1500 walipoteza maisha.

-Yule bibi unayemuona mzeeee ambaye ndiye kama anahadithia, ni kweli alikuwepo na yeye ndo alitoa mwongozo mzima wa maisha yake (maisha aliyoigiza Leonard na Kate) ndio maisha halisi ya yule bibi tangu ndani ya meli mpaka kuokolewa.

-Mwishoni mwa movie hiyo kuna binti anaonekana anamuangalia bibi, yule binti ni mjukuu halisi wa yule bibi (bibi aliokolewa akiwa na mimba ya mama yake na huyu binti(mjukuu). ila mama wa binti huyu alifariki.

Hayo kwa uchache ninayoyafahamu.
Sio kweli yule Bibi hakuwepo kwenye iyo meli bali ni muigizaji tu kama walivyo waigizaji wengine na kuna filamu nyingi tu amecheza filamu yake ya mwisho amecheza mwaka 2004 kabla ya kifo chake kwa ugonjwa wa cancer mwaka 2010, Hakuwepo kwenye meli bali alikuwa ni Muigizaji tu wa kawaida kama
...ongezea
-Abiria 1500 walipoteza maisha.

-Yule bibi unayemuona mzeeee ambaye ndiye kama anahadithia, ni kweli alikuwepo na yeye ndo alitoa mwongozo mzima wa maisha yake (maisha aliyoigiza Leonard na Kate) ndio maisha halisi ya yule bibi tangu ndani ya meli mpaka kuokolewa.

-Mwishoni mwa movie hiyo kuna binti anaonekana anamuangalia bibi, yule binti ni mjukuu halisi wa yule bibi (bibi aliokolewa akiwa na mimba ya mama yake na huyu binti(mjukuu). ila mama wa binti huyu alifariki.

Hayo kwa uchache ninayoyafahamu.
Sio kweli yule Bibi hakuwepo kwenye iyo meli bali ni muigizaji tu kama walivyo waigizaji wengine na kuna filamu nyingi tu amecheza filamu yake ya mwisho amecheza mwaka 2004 kabla ya kifo chake kwa ugonjwa wa cancer mwaka 2010, Hakuwepo kwenye meli bali alikuwa ni Muigizaji tu wa kawaida kama walivyo wengine, jina lake halisi ni Grolia Stuart.
 
Blah blah blah blah

Official report inasema kua sababu zilizosababisha hiyo meli kuzama ni ribbits(mafundi magari mnanielewa hapa).
Zile plates za nje ziliunganishwa kwa ribbits za aina mbili kuna zile za steel na zile za wrought iron ambazo sio imara sana na ndio ziliwekwa kwenye section iliyogonga mwamba.

Titanic ili designiwa na compartments 16 katika hizo nne zingeweza kuongia maji na meli isizame ila on that fateful day compartments 6 zilikua exposed na kuingiza maji na ndani ya masaa mawili she was doomed.
Hii ndio official report ya why titanic sank:::
weak ribits katika section ya mbele ya meli.Simple and clear.

Ingawa kuna sababu nyingine pia

Titanic's bridge(inapoendeshewa meli) ilopokea maonyo mengi kuhusu uwezekano wa miamba lakini hawakupunguza speed(21 knots).Hii ilikua ni kawaida kwa kipindi hiko kua ukiwa kwenye ice field get out of there as soon as u can

Waangaliaji wa usiku hawakua properly equipped, hawakua na darubini wala vikinga macho( hii nawe wanasema kua sababu ya usiku kutokua na mwezi kwa hyo wakawa wanatazama sky kama ndio ship's horizon.) So sio kosa lao.

Na baadhi ya meseji zilozotumwa na operator zilikua wrongly formatted so they never reached the bridge.
Also she had modern radios which made difficult to communicate with other ships with low radio technology.

Operator wa radio ya meli iliyokua jirani tu(kama 20km) alienda kulala so distress signal za titanic fell on dead ears.(sasa hv imebadilishwa ni 24hrs radio inakua na mtu)

Commercial pressure ya kua on time ili wajenge jina,ndo maana ikawa ina cruise at 21 knots per hour(max speed was 24 knots kwa saa).
We kalia kusoma na kuamini hiyo official blah blah report yako. powa tu, kama mnavyo kalia kusoma official report ya malaysia airline na september eleven events
 
We kalia kusoma na kuamini hiyo official blah blah report yako. powa tu, kama mnavyo kalia kusoma official report ya malaysia airline na september eleven events
Haya na wewe endelea kuamini ni sababu ya walinzi walikua wanachingulia abiria wakifanya mapenzi wakajisahau wakauona mwamba too late.

Endelea kuamini kua ni mpango wa freemasons au Jesuits au kufuru au whatever you read from blog uchwara kisa tu vimeandikwa kwa English.
 
Ninyi wafia dini ndio tatizo lenu hilo kila kitu mungu, hapo nikama ajali ya gari dereva kalewa gari imeanguka, watu wamekufa pia mtasema mipango ya mungu, inashangaza!

Kila kifo ni mawaidha makubwa kwa wenye kufikiri.
 
Back
Top Bottom