Titanic sunk by steering mistake, author says

Titanic sunk by steering mistake, author says

hapana mkuu hao matajili ndio walimshinikiza aongeze spidi ya meli ili wawai sikukuu ya chrismass mkuu captain akawaambia ni hatari jamaa wakamtisha kuwa kibarua chake kitaota nyasi alafu injinia wa meli alijigamba kuwa ile meli hata mungu hawezi kuizamisha ila cha moto alikiona naye alishitakiwa

Time 23:40 – 02:20 [a]
Date 14–15 April 1912
Location North Atlantic Ocean
Cause Collision with iceberg

Mkuu, miaka hiyo ndio Krisimasi ilikuwa tarehe hiyo?
 
Walipitisha sheria kali marufuku kutengeneza meli kubwa tena kama ile kwa ajili ya abiria.

Kuna meli kubwa, almost five times zaidi ya Titanic! Tafuta meli inayoitwa Oasis of the Seas ujionee
 
ushakuwa Mtaalam Wa maswala Ya Bahari?..basi sawa mkuu wamekuelewa


Tatizo la huku watu tunadharauliana sana mbaya zaidi mtu akiwa hana uelewa wa vitu fulani kwa sababu ya uelewa wake mdogo anafikiri kila mtu yuko kama yeye hata ikatokea yule mtu akisema jambo ataonekana anachangamsha genge
sababu kubwa sisi sio wasomaji wa vitabu
yaani kama mtu kaishia Tano haamini kuna mtu kafika Saba anafikiri wote wameishia tano kama yeye najua hujaelewa msemo huu

anyway iko hivi Titanic kwa mbele ilijengwa kwa material ambayo ingeweza kustahimili external impact yaaina yeyote material yake ya mbele ni ngumu kuliko layer yake ya pembeni

ingegonga kwa mbele ingegonga na kugota tu baharini kwani mbele ilikuwa ina one inch-thick mild steel plates

ila captain aliamini ataikwepa iceberg ambayo ilikuwa karibu sana ambayo kakuiona kutokana na fog iliyokuwapo

japokuwa wa kulaumiwa sana hapa alikuwa ni bruce ismay aliyemlazimisha captain smith aongeze speed
 
Time 23:40 – 02:20 [a]
Date 14–15 April 1912
Location North Atlantic Ocean
Cause Collision with iceberg

Mkuu, miaka hiyo ndio Krisimasi ilikuwa tarehe hiyo?

Mkuu soma vizuri ilikua ni sikukuu za Xmass na sio chirstmass
 
Kama kudhibiti ajali tu za nchi akvu tumeshindwa tutaweza kuokoa kweli ajali za majini bado tuna safari ndefu sana na kama ahera ipo itatukuta bado atujafika labda Mungu atatuongezea Extra Time.
 
Wat a lovely quotation from Rose " A womens Heart is a Deep ocean full of secrecy" thats wat i learn from de movie
 
ImageUploadedByJamiiForums1432940785.154678.jpg [
 
hapana mkuu hao matajili ndio walimshinikiza aongeze spidi ya meli ili wawai sikukuu ya chrismass mkuu captain akawaambia ni hatari jamaa wakamtisha kuwa kibarua chake kitaota nyasi alafu injinia wa meli alijigamba kuwa ile meli hata mungu hawezi kuizamisha ila cha moto alikiona naye alishitakiwa

Umenikumbusha ndugu,ahsante sana kwa ilo neno kaka la injinia la kukufuru na kujifanya yeye ndo kila kitu kumbe yupo mbabe aisee
 
Time 23:40 – 02:20 [a]
Date 14–15 April 1912
Location North Atlantic Ocean
Cause Collision with iceberg

Mkuu, miaka hiyo ndio Krisimasi ilikuwa tarehe hiyo?

Nafikili walikuwa wanawahi Valentin day or easter,aliteleza kidogo
 
Wakuu heshima yenu...
Leo kwa bahati nimepata nafasi ya kurudia kuangalia hii filamu ya hii meli kubwa iliyozama enzi hizo. Mara ya kwanza niliangalia nikiwa mdogo kiumri! Sasa leo katika kuangalia nimekuwa na maswali machache ambapo ningeomba kusaidiwa majibu yake kwa wenye ufahamu wake. Maswali yenyewe ni
1.Je ni kweli hii meli ilizama kiuhalisia au ni story tu?
2.Je! Kipindi hicho hakukuwa na mawasiliano ya kuja kuokolewa?
3.Je ile Iceberg ilitokea vp katikati ya bahari?
4.Kama ni kweli ilizama ilikuwa miaka gani na watu wangapi walipoyeza maisha ba wangapi waliokolewa!?
5.Je hiyo meli ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi?!

Natambua maswali mengine naweza google but nataka majibu ya hapa ili wafaidike wengi hivyo kama hauna majibu kuwa msomaji tu usilete kejeli hapa na kama kuna mwingine mwenye maswali aongeze hapa ili tupate majibu.

Natanguliza shukranu zangu za dhati.
swali la 2 baada ya kufanya mawasiliano waliambiwa msaada ungefika baada ya masaa 4 kutokana na umbali waliokuwepo na pia uwezekani wa meli kuzama yote kabisa ilikuwa ni ndani ya masaa 3 so hapo utaona hakukuwa na means nyingne na pia inawezekana those days hakukuwa na speed boat
 
Back
Top Bottom