TISS wanapataje watu wao?

Teh! Teh! Naskia ila sina uhakika pale mbweni-bunju kuna chuo chao, nenda pale ukifika wambie nimekuja hapa kufanya kazi kwa kujitolea ila uwe tayari kujibu maswali magumu utakayoulizwa na ukiteatea tu wanakudaka...Teh! Teh! Natania tu mjomba..
Au kama ni mwanachuo hudhuria kwenye vikao vya semina vile vya mwisho mwisho mkiwa mnaelekea kufanya mahafari naskia hii ni moja ya njia wanayotumia kurecruit agents wao...

Yote niliyosema ni uzushi. Kama mpaka sasa hujapata hii kazi basi wewe si chaguo lao. Una umri gani kwanza?
 
Hizo codes sasa ndio zitawafanya wanaoangalia unacho andika washituke zaidi. Maana watakuwa wanashangaa unacho andika. Watataka wakuhoji na wakudadisi unacho kiandika
Waga nawaambia naandika tone za nyimbo za kwaya parokia ya mwamashimba
 
mawaya yapi

anyway nacheza ps4na mwanangu , movie , kusoma vitabu , mpira napika nalala
Corona ikiisha wana JF tukutane tupige shindano la PS4 mimi Napoleon njoo na Liverpool yako unone kuwa hujui
 
TISS wanachukua watu toka upolisi, uhamiaji, JWTZ, na kwenye maofisi.
Wapo vijana wengi ambao ni watoto wa vigogo , mostly huwezi ingia kama mzazi hayupo kwenye system.
Watoto wa Membe, Mahiga, akamba ndio wana nafasi huko
 
Inawezekana sababu hata humu ni kambi yao😄
Kabisa,unaweza kukuta wanakufuatilia,halafu wakianza kukufuatilia si ajabu wakaanza kwa mwalimu aliekkufundisha shule ya msingi,siku wakikukamata unashtuka tu wakikwambia hadi mambo yako ya shule ya msingi,utashangaa sana,walijua vipi.
 
Genge la wahuni huji-recruit kihuni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa,unaweza kukuta wanakufuatilia,halafu wakianza kukufuatilia si ajabu wakaanza kwa mwalimu aliekkufundisha shule ya msingi,siku wakikukamata unashtuka tu wakikwambia hadi mambo yako ya shule ya msingi,utashangaa sana,walijua vipi.
Nikujitahidi tu usiingie anga zao
 
ili ikusaidie nini ndugu yangu fanya hata buishara tuu utatoka...
 
Stori za vijiweni kulishana matango pori
Kabisa,unaweza kukuta wanakufuatilia,halafu wakianza kukufuatilia si ajabu wakaanza kwa mwalimu aliekkufundisha shule ya msingi,siku wakikukamata unashtuka tu wakikwambia hadi mambo yako ya shule ya msingi,utashangaa sana,walijua vipi.
 
Heshimuni Hii kazi. Ila hizi nyuzi zimekuwa nyingi sasa [emoji849]TISS THIS TISS THAT!

Mk54
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…