TISS mmenda Mirembe kuchunguza kama kweli huyu mtu ana file Mirembe

Lijuakali na Msukuma na mwezao walivaa mask wasijulikane wakafanya shambulio kwa mbowe wakiwa na uoga mwingi na kukosa nguvu za mikono wakaishia kumsukumiza na kumvunja miguu, Albadiri ikisomwa ielekezwa kwa hao hao waliofanya shambulio kisha kukimbilia Bungeni kutengeneza propaganda kuwa mbowe alilewa akaanguka mwenyewe, Kitendo cha lijuakali kusema alijua alipokuwa akinywa pombe ni ushahidi tosha kuwa alikuwa busy kumfuatilia usiku ule.
Kumbe uliwaona? Huu ushahidi unatakiwa Sana kwa Sasa maana uchunguzi wa polisi bado unaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuhoji mambo yaliyoongelewa bungeni hata TISS HAWAWEZI wana kinga ya bunge

Hata wakivurumishiana mitusi maadamu wanatukanana bungeni ni ya kwao huko huko.Mleta mada hayo hayahusu nje ni yao.Ingekuwa kila tamko la bungeni mtu anadakwa WABUNGE wa CHADEMA wote saa hii wangekuwa jela
Alisema asichezewe ana faili mirembe... Mwisho wa kunukuu...
 
Au Ni huyu

FB_IMG_15920004023380929.jpg
 
Alipiga mtu na huyo mtu hadi alipelekwa mirembe, au ana ukorofi uliotiliwa shaka hadi alipelekwa kupimwa akili na akaonekana safi, ni biti la kishamba sana too much
 
Mnatapatapa sana baada ya kukwama kwa JPM na propaganda uchwara sasa mmerudi kwa sipika wa mbunge, najua napo mtakwama tu, maana mnazuia mafuriko kwa mikono

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mimi ninachojua kuna mafaili mengi na wengi wao wako kwenye dawa za kila mwezi.. Unajua ndege wafananao huruka pamoja
Mimi binafsi bila ya kushurutishwa na mtu yeyote nimekuelewa. Ni wengi, hata mwingine alidhibitisha akiwa ziarani Ukerewe.
Ila watu wa aina hiyo sio wa kuamini sana maana kuna siku mtu anaweza kusema jukwaani NIVUE? ole wao mtu aseme vua! Akavua.
 
halafu iwe ni nyakati za mwezi nchanga
 
Hakuna mwenye ubavu wa kuhoji mambo yaliyoongelewa bungeni hata TISS HAWAWEZI wana kinga ya bunge

Hata wakivurumishiana mitusi maadamu wanatukanana bungeni ni ya kwao huko huko.Mleta mada hayo hayahusu nje ni yao.Ingekuwa kila tamko la bungeni mtu anadakwa WABUNGE wa CHADEMA wote saa hii wangekuwa jela
Sisi tuna haki ya kuhoji yanayoendelea huko maana ndio tumewatuma na kulipia gharama za bunge.
We unataka hata wasiulizwe ujinga?
 
Lijuakali na Msukuma na mwezao walivaa mask wasijulikane wakafanya shambulio kwa mbowe wakiwa na uoga mwingi na kukosa nguvu za mikono wakaishia kumsukumiza na kumvunja miguu, Albadiri ikisomwa ielekezwa kwa hao hao waliofanya shambulio kisha kukimbilia Bungeni kutengeneza propaganda kuwa mbowe alilewa akaanguka mwenyewe, Kitendo cha lijuakali kusema alijua alipokuwa akinywa pombe ni ushahidi tosha kuwa alikuwa busy kumfuatilia usiku ule.
Acheni kujidhalilisha hivi.SAA saba alikuwa wapi? Walinzi wake walikuwa wapi? Kwa nini taarifa zitolewe na mwanamke mwingine na si mke wa ndoa? Kwa nini hakupiga makelele kuomba msaada ? Nk
 
Hakika wewe ni bingwa wa udaku kama siyo uzushi, maana bandiko zako na michango yako katika kujadili mada, mara zote unaongozwa na hisia hasi dhidi ya watawala. Hilo ni tatizo la kiafya ya akili na madhara yake ni makubwa kwa kuwa hudumaza uwezo wa kuwa mtu wa maono bali tegemezi.

Jisalimishe kwa madaktari bingwa wa magonjwa ya akili. Bila shaka utarudi kunikashifu kwa kuwa tayari umeisha kuwa mlemavu wa akili.
 
Back
Top Bottom