Kuchonga funguo za sefu

Sundii

Member
May 6, 2020
27
31
Habar Wana jamii forum.
Mimi nilipewa selfu kubwa na Babu yangu KABLA hajafa 2017. Pindi ananipa hiyo selfu alinipa bahasha tu kuwa ukifika mwaka 2024 January moja nifungue hiyo bahasha. Nilipo fika tar 2 mwezi huu nikafungua Ile barua. Nikakuta imeandikwa ivi!
Chukua jembe na koleo
Nenda kwenye mti wa mtoma uliopo karibu na mpera pima mita tatu kutoka kwenye mtoma kuelekea kwenye mfenesi. Kuna jiwe kubwa liondoe na uchimbe futi tano kwenda chini utakachokikuta ndio urithi wako!
Tafadhali usimwambie mwanaukoo yeyeote yule mpaka unakufa!
Tar tatu nilienda kijijini kwetu nikachimba bila mtu yoyote kujua nikakuta selfu za zamani za kikoloni. Nikatafuta fuso na watu 23 wakainyanyua nikaipeleka sehemu ya Siri nikaificha.

Sasa hiyo sefu Inakadriwa kuwa uzito wa Tani moja inaonekana Ni ya wakoloni na Haina funguo! So naitaji mtu anayefahamu kuchonga funguo za sefu.
Kwa nilivyofuatilia historian ya Babu kuwa zamani alikuwa anafanya kazi kwenye machimbo mwadui shinyanga

Kama unamfahamu naomba namba zake

Weka namba zake
 
Unarithushwa uganga wa kutoa majini ndugu yangu.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hapana. Majini aweke kwenye sefu
Anamaanisha kile kijitabu Cha siri Cha falaki!nasikia ni siri Sana kuwa nacho!!

Humor ndimo Kuna code za ulimwengu humor!wakubwa kama kina mwinyi,kikwete,samiah lazima Wana access na hivi vitu kupitia wataalam was nyota kina she yahya wa leo!!
 
Hakuna kitu hapo, binadamu tumeumbwa na shauku(curiousity) sana, hakuna mtu anaweza kukaa na barua miaka 7 bila kuifungua eti kisa umeambiwa usifungue mpaka 2024

Yaani hapo hata mwezi tu usingetoboa lazima tu ungekua ushaisoma... Hii ni chai au anatafutwa mtu apigwe na kitu kizito....

Eti nimeficha, yaani mnashirikiana watu 24 kuficha kitu???

Shenzi
 
Habar Wana jamii forum.
Mimi nilipewa selfu kubwa na Babu yangu KABLA hajafa 2017. Pindi ananipa hiyo selfu alinipa bahasha tu kuwa ukifika mwaka 2024 January moja nifungue hiyo bahasha. Nilipo fika tar 2 mwezi huu nikafungua Ile barua. Nikakuta imeandikwa ivi!
Chukua jembe na koleo
Nenda kwenye mti wa mtoma uliopo karibu na mpera pima mita tatu kutoka kwenye mtoma kuelekea kwenye mfenesi. Kuna jiwe kubwa liondoe na uchimbe futi tano kwenda chini utakachokikuta ndio urithi wako!
Tafadhali usimwambie mwanaukoo yeyeote yule mpaka unakufa!
Tar tatu nilienda kijijini kwetu nikachimba bila mtu yoyote kujua nikakuta selfu za zamani za kikoloni. Nikatafuta fuso na watu 23 wakainyanyua nikaipeleka sehemu ya Siri nikaificha.

Sasa hiyo sefu Inakadriwa kuwa uzito wa Tani moja inaonekana Ni ya wakoloni na Haina funguo! So naitaji mtu anayefahamu kuchonga funguo za sefu.
Kwa nilivyofuatilia historian ya Babu kuwa zamani alikuwa anafanya kazi kwenye machimbo mwadui shinyanga

Kama unamfahamu naomba namba zake

Weka namba zake
Kuna watu watapigwa humu
 
Hakuna kitu hapo, binadamu tumeumbwa na shauku(curiousity) sana, hakuna mtu anaweza kukaa na barua miaka 7 bila kuifungua eti kisa umeambiwa usifungue mpaka 2024

Yaani hapo hata mwezi tu usingetoboa lazima tu ungekua ushaisoma... Hii ni chai au anatafutwa mtu apigwe na kitu kizito....

Eti nimeficha, yaani mnashirikiana watu 24 kuficha kitu???

Shenzi
Kwanza hukuelewa
Baada ya kuchimbua hii nilienda mbali nikakodi fuso ikaniletea mchaga ikamwa na watu wake waliokuja na mchanga ndo wakainyanyua sefu
 
Kwa mi binafsi mzee wa investigation sitaki kukubali story yako, inaonekana kama story ya kutengenezwa ili kuuwa ukweli ulipopata hiyo kitu. Lkn aslimia ndogo inawezekana!!

Kuna sehemu 2 hapa dar wanahusika na hiyo kitu. 1) Buguruni shell:- Nyuma ya pharmacy maarufu sana pale buguruni kiomboi kisiriri, mtaa wa nyuma utakuta ya maself mengi ya used na mafundi utapata.

2) Eneo lingine k/koo maeneo ya GEREZANI, karibu na jengo la NASRA TOWERS & SIDO.

Sio kwa umuhimu sana, lkn ngoja nikupe code. Kama unataka kuvunja usishughurike na mbele kwenye mlango wala ubavuni utakesha. Piga mgongoni ndio udhaifu wake/vijana wanasema ndio kwenye mshono! Jamii Forums mobile app
 
Matapeli wanambinu nyingi sana,ila utashangaa Kuna watu wenye tamaa WATAPIGWA HUMU Hadi wachakae😎
 
Back
Top Bottom