Magdalene_joseph
JF-Expert Member
- Jun 26, 2023
- 230
- 614
Jibu hoja rais anapuyanga tu hata hajui what's going on.Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.