Bila salamu.
Hili neno linachosha sasa kwa timu zetu..simba na yanga ndio timu kubwa hapa bongo ziondoe hili neno kujitahidi limekuwa too much tutengeneze timu za kushindana kama wenzetu na sio timu za kuqualify kwenye mashindano fulani.
Wenzetu nilichoona wana timu imara muda wote they play confidence wanaindividul quality wepesi wako eager yaani unaona kabisa hawa watu hawabahatishi wanatafuta kitu.
Timu zetu bado zinacheza kwa machale sio kuwa zitunatafuta kitu in confidence.Tunafuta tu kuqualify hatua moja kwenda nyingine lkn kiuwezo unaona kabisa bado.
Bado tunasafari ndefu na makocha wetu ,mabenchi ya ufundi,uwezo wa timu kifedha na kiuchumi,migogoro kila kukicha fukuza huyu timua yule yaani ni shida tupu.
Mimi nimeondoa hilo neno kujitahidi kwenye title yangu kwa sababu silitaki sasa vinginevyo ningesema 'timu zetu zijitahidi kuondoa neno kujitahidi' Lkn nimesema timu zetu ziondoe hili neno kujitahidi'..
Zifanye kweli ziache mambo ya kubahatisha bahatisha.
Tuache kujisifu sifu ovyo wakati kiuhalisia unaona kabisa Hali ni tete.
Basi usiku mwema.