Huoni hajacheza mbali na mmewe... Usicheze na totoz za kibongo ukigeuka tu umeibiwa
hiyo ni timu ya warembo? mbona yupo mmoja tu?
Labda watakuwa wapo kwenye foleni ya mstari mmoja so wengine wapo kwa nyuma..
Mama Regina chunga mzigo wako.Teh!teh!
hapa naona siasa tu....:ranger:Sababu ya warembo kumtembelea Lowassa ni nini hasa?
Kwani naye ni kiwembe kama nanihii...??Mama Regina chunga mzigo wako.Teh!teh!
Labda watakuwa wapo kwenye foleni ya mstari mmoja so wengine wapo kwa nyuma..
Mama Regina chunga mzigo wako.Teh!teh!
Mama Regina chunga mzigo wako.Teh!teh!
Mzigo wa huyu mama huwa na madhaifu mengine, haya warembo Lowasa aliisha yashinda, yeye huwa na aleji na pesa na dili za pesa tu, warembo kwake ni kama mabinti zake tu, this is why Regina Lowasa hana wasi wasi na mkuu!