Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

WhatsApp Image 2025-08-24 at 11.15.44.jpeg
 
Jezi nzuri ni hiyo ya njano yenye weusi, hizo nyingine haswa hiyo ya kijani ni mbovu.
Hii ya njano nayo ni kama marudio kama sio msimu uliopita kuna msimu nyuma jezi yao ilikuwa inafanana hivi hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom