Watu wanatumia uelewa mdogo wa watanzania kujinufaisha. Faida ya simba kwa miaka yote iliinufaisha kundi moja tu LA friends of simbaKwa hiyo mmeanza kuhoji kabla hata fedha hazijachangwa na wala uwanja bado haujajengwa, ni wapi Simba/Mo pamoja na wanahisa wengine wametoa tamko kwamba mapato yatakayotokana uwanja yatawanufaisha wao wao pekee!?
Unapompa ndugu yako mtaji wa biashara kama msaada kisha akafanikiwa huko mbeleni kwa msaada uliompa utataka mgawane kila faida atakayopata!?
Mimi naomba niishie hapa maana mitazamo yetu imetofautiana tu na haimaanishi kwamba uko sahihi au umekosea, ndivyo hivyo na kwangu ilivyo.
Kama unaweza kuchanga, changa.
Kama hauwezi kuchanga kaa kimya hakuna atakekushitaki mahakamani kwamba hujachanga.
Ahsante.
Fact...maana kanjibhai mjanja mjanja sana yule b2 zake atataka agawane na timu 50/50 mapato[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari.
Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu hawajaanza kuchangia ujenzi wa uwanja. Iko siku mapato ya uwanja huo italiwa na MTU, familia, au kikundi kimoja tu cha watu. Ikitokea hivyo malalamiko yatazuka kwa wale wote waliochangia ujenzi wa uwanja huo.
Kulinda haki za watanzania serikali ihakikishe kuwa wananchi hawachangishwi ovyo bila kuwepo kwa andiko litakaloanzisha hiyo asset ya uwanja linaloonyesha umiliki Na mapato yatakwenda wapi.
Vipi kwani hakuna uwezekano wa mapato ya uwanja kwenda kwenye account ya club?Hilo unalosema linawezekana kwenye kuchangia harusi Na perishables, sio kwenye asset kama uwanja ambao utaingiza pesa. Unataka kusema wanachama na wachangiaji watakubali mapato yooooote ya uwanja wao yaende kwa Barbara Na familia yake bila kuhoji?
Account IPI ya mwekezaji au ya walalahoi? Inayokaa kwenye account ya club ni hela ya uendeshaji sio faida, surplus. Faida lazima iende kwa wenye mali. Malengo ya kila mwekezaji ni kupata faida, ndio maana mo anasema anapata hasara simba. Sasa wewe unataka wanachama wawekeze kwenye uwanja bila kutarajia faida? Huo utakuwa wendawazimu.Vipi kwani hakuna uwezekano wa mapato ya uwanja kwenda kwenye account ya club?
Wanachama wakiwekeza kwenye uwanja inabidi wapewe hiyo faida,lakini hapa kinachofanyika watu wenye mapenzi na SSC wanadonate na sio investmentAccount IPI ya mwekezaji au ya walalahoi? Inayokaa kwenye account ya club ni hela ya uendeshaji sio faida, surplus. Faida lazima iende kwa wenye mali. Malengo ya kila mwekezaji ni kupata faida, ndio maana mo anasema anapata hasara simba. Sasa wewe unataka wanachama wawekeze kwenye uwanja bila kutarajia faida? Huo utakuwa wendawazimu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nchi ngumu sana hiiYaani unataka wanachama wakubaliane kwanza jinsi watakavyokuwa wanagawana mapato? Nchi hii ngumu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani hela za kiingilio anakula nani?Shida hapo sio kiwanja, bali hela za kiwanja nilichochanga kujenga anakula nani? Maguli Na Bashiru walipowanyang'anya watu ulaji wa mali za ccm si uliona mwenyewe malalamiko?
Kwahiyo Mimi niliechangia 50k nitapaswa kupata mgao wa faida? Akili zingine Ni kinyero kabisa.Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari.
Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu hawajaanza kuchangia ujenzi wa uwanja. Iko siku mapato ya uwanja huo italiwa na MTU, familia, au kikundi kimoja tu cha watu. Ikitokea hivyo malalamiko yatazuka kwa wale wote waliochangia ujenzi wa uwanja huo.
Kulinda haki za watanzania serikali ihakikishe kuwa wananchi hawachangishwi ovyo bila kuwepo kwa andiko litakaloanzisha hiyo asset ya uwanja linaloonyesha umiliki Na mapato yatakwenda wapi.
Bado akili yako Ni ya kindez Sana .Haya ngoja nikupe wanufaika hapa .Zile ni fedha ambazo zililipa mishahara, nauli, chakula Na posho (utilities) Na kwisaha kabisa. Hii ni tofauti Na kujenga uwanja utakaodumu miaka 100 ukiingiza pesa. Haiwezekani ni change Mimi lakini pesa ule we we? Je, kama timu ikifa uwanja unabaki kwa nani? Je kama uwanja utafanya faida pesa zitamnufaisha nani Na nani?
Nan kakudanganya kuwa vitarud kwa wananchi? Bora ungesema Vita chukuliwa na ruling party kidogo ungeeleweka kidogo ,una mawazo finyu sabab ya wivu tuSi umeona hapo, siku ccm ikishindwa uchaguzi viwanja vyooote hivi vitarudi kwa wananchi, maana vilijengwa Na wananchi. Lakini kama ccm itajenga kiwanja kipya sasa hicho kitakuwa ni cha ccm hata kama kitashindwa uchaguzi
Je, watu wanafahamu hivyo kuwa wanatoa sadaka? Ni nani amewaambia kuwa itakuwa ni sadaka?Wanachama wakiwekeza kwenye uwanja inabidi wapewe hiyo faida,lakini hapa kinachofanyika watu wenye mapenzi na SSC wanadonate na sio investment
Mo hawezi claim ownership ya uwanja kama pesa imetoka mifukoni mwa watu wema,ndio maana nikasema bado kuna option pesa kuingizwa kwenye account za club
Wajinga hawaishi, wataendelea kuwepo tu milele. Mo arena kwa lipi?Maajabu ni kwamba ramani ya uwanja hakuna alafu wanakwambia uwanja kujenga ni 30 bil.
Huu si uchizi, itengenezwe kwanza ramani alafu ziandaliwe makisio ya gharama zinazohitajika kwa ajili ya ujenzi ndio gharama ifahamike.
Hii timu sasa ni SIMBA QUEENS FC a.k.a Barbara FC a.k.a Lialia FC a.k.a Upatu FC
Ni jambo jema kwa timu kubwa kuwa Na uwanja wake, hata hivyo isiwe kwa mihemko ya MTU mmoja aliyetaka kulazimisha na watoto wake wawe VVIP kwa TFF, waswahili wanasema "ukijamba kwa hasira utajinyea" uwanja uje lakini kwa utaratibu rasmi Na kuratibiwa vizuri.Maamuzi ya hasira tusubiri huko mbeleni mda uta amua
Zile ni fedha ambazo zililipa mishahara, nauli, chakula Na posho (utilities) Na kwisaha kabisa. Hii ni tofauti Na kujenga uwanja utakaodumu miaka 100 ukiingiza pesa. Haiwezekani ni change Mimi lakini pesa ule we we? Je, kama timu ikifa uwanja unabaki kwa nani? Je kama uwanja utafanya faida pesa zitamnufaisha nani Na nani?
Kiongozi mchango wa hiari siku zote huwa hauna return, mtu anachanga alichonacho kama ameguswa, sio lazima.
Hakuna atakayekushikia panga uchangie.