Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.

Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.

Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.

Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.

Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
 
Kukamia ndio mdudu gani? Ulitaka wacheze kimdebwedo sio?
 
Pumzi imeanza kukata malalamiko yameanza.Yaani mnataka timu zicheze mpira mnaotaka nyie.Wapeni formation na wapangieni timu. Tujue moja.
wapige mbungi wasipoteze muda kizembe, nimeangalia gemu yenu na tabora united full magoli ya mpesa yale.
 
Wanawakamia kwa sbb ya ulozi wenu...na marefa kuwabeba..goli la leo mchezaji wa mashujaa kafanyiwa rafu mbaya...
Sawa kocha msaidizi wa mashujaa ila kocha mkuu kasema mchezaji kadelay kufanya maamuzi
 
Kwa nini tusirudi kwenye zile 5-0 ambazo hamjazilipa,achilia mbali zile 6-0?sizungumzii nne nne ambazo mmepigwa nyingi tu
naona unazungumzia mambo ya google miaka ileee zungumzia ishu ya juzi juzi hapo.
 
Timu ligi kuu ina wachezaji wanaamini magoli hayaingii sababu ya mataulo. Yaani hawana tofauti na wachezaji wa mtaani. Uto kweli ni uto
 
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.

Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.

Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.

Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.

Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
Hakuna team inayokamiwa kama Simba. Utaona mfano mdogo tu Azam, Singida FC, na Utopolo wanavyomkamia mnyama. Ila ni jambo la kawaida timu ndogo kukamia timu kubwa.
 
Timu ligi kuu ina wachezaji wanaamini magoli hayaingii sababu ya mataulo. Yaani hawana tofauti na wachezaji wa mtaani. Uto kweli ni uto
na yale mauchafu mlimwaga Tabora yalikua ni manini.
 
Kwa hiyo watu wasicheze mpira kutafuta magoli kisa et we utopolo utasema mnakamiwa?

Wachezaji pumzi imekata tu wala sio kukamiwa.
 
Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga.

Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila aina ya mbinu either chafu or Nzuri kupata matokeo au kutoa droo.

Yanga imekua muhanga wa timu nyingi kupoteza muda pamoja na kupaki basi pindi zichezapo na yanga hili ni tofauti kabisa na timu nyingine zinapokutana iwe Azam, Simba, Singida united et al timu zinafunguka na kucheza mpira. Je ni ile idadi kubwa ya magoli yaliyokua yanafungwa na Yanga?
Alipata kusema Ali Kamwe mashabiki wa Yanga wanadhulumiwa viingilio vyao kwa aina hii ya uchezaji wa timu pinzani, na bongo bado tatizo la kuongeza muda uliopotea ni tatizo zinapotezwa dakika nyingi ila utashangaa zinaongezwa dakika 3 kama vile wamekariri kwamba ni lazima ziwe tatu au nne wakati kuna gemu unaona kabisa zinatakiwa kuongezwa hata dakika 10.

Nimeangalia gemu ya Tabora United vs Simba, Tabora united walifunguka na wakawa wanapishana na wachezaji wa simba ndio maana wakawa wanaacha nafasi na kuchezea magoli 4 japo magoli mengine yalikua mepesi sana asante golikipa Nobo.

Ni wakati wa Tff kuja na muarobaini wa hizi timu zinazopoteza muda wanatunyima ladha ya mpira, wanatukatili viingilio vyetu mashabiki.
Yaani mtu na akili zako (kama unazo) unakuja na mada dhaifu kama hii!! Kukamia ndiyo nini? Yaani unataka wacheze kidhaifu ili iwe nini?
Ukizoea kubebwa na kuhonga ndiyo matokeo yake kama hivi.

Rudia kusoma mada yako mara nyingi ugundue ulivyo mwepesi.
 
Back
Top Bottom