Timu Mbowe si tulikubaliana hakuna kuhama Chama?

Na hayaamiki kabisa haya majitu. Yalisema hayataondoka ndani ya Chama,leo yameondoka. Sasa hivi unasema hayaendi CCM, ila siku chache zijazo hayoooo yanaibukia CCM. Na ndo yanakoelekea, nyambaff!
 
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?

Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?

Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!

Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
1746650145776.png
 
Fire fire fire , fire burn them x2
Like the power of the Holy Ghost fire burn them!

May the fire of Elijah come upon you, you have destroyed and killed the real opposition party by your rat poison behaviours ! GOOOooooooo!

Time !
#samiamustgo!
 
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?

Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?

Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!

Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Aibu yao!
Miaka yote wamewahadaa WaTanzania kuwa wao ni wapinzani kumbe hopeless wachuuzi! Wasakatonge! Mercenaries! Malaya!
Kigaila na wenzake hao si ndo walikuwa wanaimba No Reforms No Elections!
#Shame for but they will pay for it!
 
Lazima cdm wakubali kuwa kunampasuko kama nihivyo nikuuziba ila sio kuita watu wasaliti hiyo kauli inaumiza
 
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?

Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?

Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!

Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
hili tanuru joto nikali sana lazma waondoke nafsi inawasuta
 
Msigwa walikutesa sana hawa watu sasa rukhsa kurudi chadema mkajenge chama na swaiba wako. wote mlikuwa wahanga wa utawala huo.
 
Mbowe alipanga kuwafukuza kina lissu, msigwa, lema na heche angeshinda
Mbowe alikuwa hafukuzi, bali walikuwa wanajitoa. Tatizo la Lissu ni kuamini yeye anajua kuliko kila mtu. Na hiyo ni tabia namba moja ya Madikteta duniani.
 
Back
Top Bottom