Hata watu wa nchi nyingine nyingi tu wanaitaji visa kuja Tanzania, hivyo nao ni kupanga foleni kupata visa ya kuja Tanzania. Hivyo ni bora mtu kurespect nchi na mahitaji yao.
Cha muhimu ni kujua pia kujieleza, na nchi nyingi zinazoongea English kama 1st language wanapenda mtu ajue lugha pia hata kuelewa mtu anakuambia nini katika maneno ya kila wakati.
Jua form uliyoijaza ndani nje, as wengi wanaandika na wanategemea basi ndio hivyo ni kama interview ya kazi mtu anaandika CV wakati wa maswali hajui kujieleza hata vipangala alivyoandika kwenye CV.
Ni kama visa wengi wanasaidiwa kujaza wanakimbiza kusubmit form bila kukaa chini kuisoma na kujua walichoandika.
Kila kitu unachopeleka wewe kisome ujue as ukiulizwa ujue, pia chochote kingine kinachoendana na ombi lako.
Haya unaenda kutembea, lazima uonyeshe kuna kitu cha kukurudisha wakati fulani. Na kuonyesha kuwa unajiweza kujiangalia unaposafiri hata kama utasema unategemea watu unaoenda kuwatembelea lazima nawe ujiboost itasaidia.
usisite site eti unajibu ili then unabadilisha jibu hapo hapo toa moja, labda ukiulizwa
CHA MUHIMU JIBU UNACHOULIZWA
SIO KUULIZWA SWALI UNAANZA KUJIELEZA NA MAMBO AMBAYO HUJAULIZWA AMBAYO YANALETA MASWALI MENGINE THEN UNASHINDWA JIBU THEN UNABATUA
JIBU UNACHOULIZWA NA SUBIRI WAKUULIZE SWALI
KUMBUKA UNAWEZA KUWA NA MAMBO YOTE WANAYOTAKA THEN UKAWA HUJUI KUJIELEZA.