Time For Change: Sema "hapana" ngwe ya pili ya JK

Hapana shaka kuwa hata kile kipindi kile wakati wa Richmond, na Mambo mengine ya EPA ni kosa kubwa sna katika Nchi za Demokrasia angweza kuondoka mapema, haya mambo ya siku hizi ni aibu tupu kwa Taifa kubwa sana na kuhusu hali mbaya sana katika Taifa letu
 
JK hata kama siyo chanzo cha tatizo pekee but he has a bigger role to play in solving the said tribulations.
i just think today's live session at TBC is just another ironical hoax of his as usual.
I believe with his smile all over the TV today,will just confuse all the approaching angry phone calls and as usual Tanzanians will fall to his whims.
Its high time we ask him to sep down and accept his failure which i know is hard thing to ensue and he will just come back to power.
 
Mtu kama Ole Sendeka is so energetic, firm and intelligent. Watu design hii ndio wanatakiwa wapewe uongozi, what do you think?
 
Pinda? No sir. He doesn't have the presidential temperament needed for a president.

I don't know much about Mwandosya.

Salim...nuuh...what new ideas is he going to bring? I see him as an old guard CCM apparatchik who has seen sunset.

The main problem we have at this moment is not lacking in ideas, but implementing the ones we already have, or to be more precise we are lacking a person to supervise the implementation of old ideas, which are valid since independence. Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa, utawala kwa manufaa ya wananchi, welfare of watanzania....hizi ni old ideas mkuu. Lakini serikali yetu ina lack sana kutekeleza na kusimamia
 
Lets give credit where it is due. Mr. President knows how to move hearts. When people are busy discussing him here he is busy dishing our pipi (sweets). While people are complaining here he is bracing to konga-ring (touching) people's nyoyo (hearts) with an open online session on TBC1 tonight. Surely the Presider is 'mtu wa watu' - the man of the people! He is indeed the King of the Hearts. Its his strategy that works - both ways.

Unawakilisha mawazo ya "wabongo" wengi sana kwa kauli hiyo juu! Na ndio kikwazo kikubwa cha watanzania kua na uongozi bora kwasababu vigezo vyetu kwa kiongozi bora ni kama hivo!

NB:"Wabongo": hapa limetumika kuelezea kundi kubwa la watanzania wanaoishi kwa ujanjaujanja
 
Mtu kama Ole Sendeka is so energetic, firm and intelligent. Watu design hii ndio wanatakiwa wapewe uongozi, what do you think?

Hata Lowassa alikuwa so energetic, firm and intelligent!

Ole Sendeka ni mwana-caucus wa ccm kuliko unavyojua!
 
sidhani kama kuna mtu aliye CCM kwa sasa ambaye anaweza kujitenganisha na ufisadi. yani ni kama vidole na mkono. On holds the other and determines its whereabouts.
 
Kumbuka jinsi zile peremende/pipi zilivyokonga moyo wako!

Acha kupotosha na kudanganya umma. Sikukongwa na peremende mimi. Nilichotofautiana na nyinyi wasomi wa kibongo bongo ni kwamba mimi sikuona ubaya wowote wa Kikwete kumpa dogo peremende. Kwa upande mwingine nyinyi mliona ndio kama vile katenda kosa la jinai. You made a mountain out of a molehill!!

Mlinikumbusha wapinzani wa Obama ambao wanapinga kila kitu Obama hata kama hakina ubaya wowote ule. Juzi watu walikuwa wanatokwa na mapovu kisa eti Obama atatoa hotuba kwa watoto wa shule. Watu sampuli yenu wakadai eti ni indoctrination! Sasa hotuba katoa jana nini kilichoharibika?
 
I have a strong feeling that some 'clean' CCM members are going to break out of CCM before 2010 and form their own thing. There are people I see and listen to, and I wonder how do they manage associating themselves with the CCM we know. Just my feeling......
 
Acha kupotosha na kudanganya umma. Sikukongwa na peremende mimi. Nilichotofautiana na nyinyi wasomi wa kibongo bongo ni kwamba mimi sikuona ubaya wowote wa Kikwete kumpa dogo peremende. Kwa upande mwingine nyinyi mliona ndio kama vile katenda kosa la jinai. You made a mountain out of a molehill!!

Umma unatambua kuwa kwa namna moja au nyingine - kwa kujua au kutojua - ulikuwa unashiriki kumsaidia kukonga nyoyo za Watanzania. Na leo nyoyo hizo zinasubiri kwa hamu kugawiwa pipi kwenye runinga. Kweli Muungwana ni Mzee wa PR, mpaka kina Nyani Ngabu mnam-promote!
 
Hata Lowassa alikuwa so energetic, firm and intelligent!

Ole Sendeka ni mwana-caucus wa ccm kuliko unavyojua!

Lowasa alijulikana kwa mambo yake lakini, looong ago. It's a fact ukiacha tamaa zake za wizi the guy is the perfect president for this country. Sina data zozote za Ole Sendeka on the negative side.
 
Kama Kikwete hafai si TUMPE DR. SLAA?

Kama Rais akitoka CHADEMA na serikali iwe ya CCM, yaani PM awe Kikwete, nafikiri mambo yatakuwa mazuri sana. Ingawa ningependa zaidi Kikwete awe waziri wa mambo ya nchi za nje maana anapenda kusafiri....
 
Who's the alternative? Or it's just Anybody But Kikwete (ABT)....

Kwa sababu mpaka sasa sijaona kiongozi yeyote aliyeonesha uongozi madhubuti na uliotukuka hususan ikija kwenye masuala ya ufisadi na muunganiko wake kwenye utawala mbovu vis-a-vis utawala bora.

Oh well....

Mkuu alternative zipo nyingi sema hazipewi nafasi. Watu wajitokeze then we can choose among them. Lakini JK inabidi kumdiscard.
 
Umma unatambua kuwa kwa namna moja au nyingine - kwa kujua au kutojua - ulikuwa unashiriki kumsaidia kukonga nyoyo za Watanzania. Na leo nyoyo hizo zinasubiri kwa hamu kugawiwa pipi kwenye runinga. Kweli Muungwana ni Mzee wa PR, mpaka kina Nyani Ngabu mnam-promote!

Kama mijitu mizima kama wewe inasubiri kugawiwa peremende kwenye luninga basi sina tena haja ya kutetea hoja yangu ya Miafrika Ndivyo Tulivyo!!
 
Magufuli anaweza lakini hana support kubwa.

Rasi wa Tanzania : Dr. Slaa.

PM wa Tanzania : Magufuli.

Waziri wa mambo ya nje : Kikwete.

waziri wa Ujenzi : Prof. Mwandosya.

Mwanasheria muu wa serikali: Dr. Mwakyembe.


Timu bomba saana.
 
Rasi wa Tanzania : Dr. Slaa.

PM wa Tanzania : Magufuli.

Waziri wa mambo ya nje : Kikwete.

waziri wa Ujenzi : Prof. Mwandosya.

Mwanasheria muu wa serikali: Dr. Mwakyembe.


Timu bomba saana.
Waziri wa Elimu - Edward Lowassa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom