Time For Change: Sema "hapana" ngwe ya pili ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Time For Change: Sema "hapana" ngwe ya pili ya JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 9, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 9, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Niseme nini kisichojulikana? Alishinda kwa asilimia nyingi ya kura akijaza mioyo ya watanzania matumaini ya mwanzo mpya wa ujenzi wa taifa lao. Watu walitaraji mabadiliko. Walichopata badala yake ni mwendelezo wa sera ya uzembe, itikadi ya ufisadi na siasa za kubebana na ahadi za kuzugana. nchi yetu inastahili uongozi bora. Hatuitaji miaka mingine 5 ya viongozi walioshindwa. No 2nd term 4 kikwete. Yes i said it.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Who's the alternative? Or it's just Anybody But Kikwete (ABT)....

  Kwa sababu mpaka sasa sijaona kiongozi yeyote aliyeonesha uongozi madhubuti na uliotukuka hususan ikija kwenye masuala ya ufisadi na muunganiko wake kwenye utawala mbovu vis-a-vis utawala bora.

  Oh well....
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu Nyani Pinda, Mwandosya, Salim, ni presidential materials, they may not be as clean as we would like them to be, but i can comfortably say they are lesser devils than many.

  But if we ask JK, why shoud we choose you again to be our president i wonder what the answer will be. Au ndio itakuwa yalaye ni mwenzetu, mpole. Hatutakuwa fair kwake kama ataendelea kuwa rais wakati baadhi ya watu waliomfunga kamba wanaendelea kuwepo kwenye siasa.
   
 4. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii ingekuwa na demokrasia ningepandisha matumaini lakini kwenye haya mazingira yaliyojaa rafu za kila aina na michezo michafu kutokea juu - sitaki kabisa kujipa presha. Sina wasiwasi na kuwepo watu safi na wenye uwezo wa kutuongoza, hata kutoka humohumo kwenye ktuo cha kulelea mafisadi, ni CCM maana yake. Swala ni kwamba hawana pa kupita, maana chama kinaendeshwa kifisadi na mtu asiyeweza kutunza interest za mafisadi hawezi kuruhusiwa kupita.

  Having said that, njia mbadala na pekee ni kukipa hatamu chama kingine; na believe me, anybody can do a better job. Sasa je, na rafu hizi kuna alternative? I only see the same drought past 2010!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Pinda? No sir. He doesn't have the presidential temperament needed for a president.

  I don't know much about Mwandosya.

  Salim...nuuh...what new ideas is he going to bring? I see him as an old guard CCM apparatchik who has seen sunset.
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lets give credit where it is due. Mr. President knows how to move hearts. When people are busy discussing him here he is busy dishing our pipi (sweets). While people are complaining here he is bracing to konga-ring (touching) people's nyoyo (hearts) with an open online session on TBC1 tonight. Surely the Presider is 'mtu wa watu' - the man of the people! He is indeed the King of the Hearts. Its his strategy that works - both ways.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  well!!
  there is one ,ore option.we get rid of the whole ''viper generation'',and start over with something very different.probably vyama pinzani viingie kwenye system
   
 8. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nyani, umenena.
  Do we real have an alternative ama they are just like JK????????
  To many promises before they get to power and once they are on top wanasahau wajibu wao!
  Sijui kama Tanzania tuna viongozi waadilifu hata wakati huu tunaolilia ufisadi na mengine mengi!
   
 9. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kikwete anaweza kuwa na mapungufu yake ila ni imani yangu kuwa yeye pekee si tatizo wala chanzo cha tatizo. Siasa, sera tekelezi na magenge pinzani ndani ya chama tawala ndio tatizo letu kubwa. Kwa jinsi CCM kusivyokuwa shwari kwa sasa hata hayati baba wa taifa angepata taabu kuongoza jahazi hili.
   
 10. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2009
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr. Shein?
   
 11. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  As long as by being so and doing all that does not keep him within focus and attaining the objectives for which we elected him, he's defeated!
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Correction: he knows how to move the faint-hearted. But not the Ngabus of this world.
   
 13. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwaaaana bwana! Hakuna chama chenye sera nzuri kama za CCM bwana we! Tatizo utekelezaji ZERO. Wala nchi hii haina matatizo ya kisiasa. Uongozi unahitajika ku-balance all conflicting interests, ndio maana ya uongozi, otherwise tusingehitaji sio? Uongozi sio kuchekacheka tu na watu saa zote. Mimi nasema SIDANGANYIKI katika hilo, uongozi wa juu sifuri.
   
 14. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Do you want to deliver some "Flowers" to him?

  Tunaongelea Mustakabali wa nchi hapa. Tunaongelea maisha bora, (elimu, afya, chakula, usafiri, nishati, mazingira, rasilimali n.k.) halafu wewe unasema ni mtu wa watu!

  Who cares if you are people's person?

  If Don't Deliver You are Out! As simple as that, and please stop this nonsense.
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Si Wapinzani wala wananchi wenye jeuri hiyo kwa sasa.katika TZ wapiga kura wengi bado wapo vijijini ambao hawajui chochote kinachoendelea,na waliopo mjini bado hawajamuona masiha kama NN alivosema.CCM itakuja kujiondoa yenyewe kwa makundi waliyonayo wenyewe muda ukifika.Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati.Lakini ili mabadiliko hayo yatokee wanaharakati na wenye uchungu wa mustakabali wa nchi inabidi waendeleze mapambano bila kuacha tena kwa -sacrifice.
  Mungu atajibu maombi,yes ameanza kujibu!
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  no!the guy is so clean,lakini ni output ya CORRUPT MANAGEMENT
   
 17. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwa hili sipo ukurasa mmoja na wewe. Kikwete ni lazima aendelee, sababu ninazo.

  1. Miaka 5 ya mwanzo ilikuwa ya kulipa fadhila kwa waliomuweka madarakani na hilo ameisha lifanya. Miaka mitano ya mwisho itakuwa ya kutengeneza legacy, hivyo ninaimani uswahiba utaisha

  2. Miaka 5 ya mwanzo ilikuwa ni learning curve na sasa amefahamu vizuri kuwa urais si kuendeleza urafiki bali ni kufuata taratibu.

  3. Miaka 5 ya mwanzo ilikuwa ya kujijenga ili jamaa wasimtose katika miaka 5 ya mwisho, hivyo ninatumaini kuwa miaka 5 ya mwisho itakuwa ni miaka ya kikwete mwenyewe si ya wanamtandao, kwani fadhila kishawalipa. Hivyo atakuwa serious zaidi katika kudeliver

  4. Nina hakika ufisadi hautaendelea katika miaka 5 ya mwisho kwani hataangaliwa mtu sura, Kumbuka hotuba yake ya ufunguzi wa bunge?


  Kwa kuwa raisi ni lazima atoke CCM kwa vyovyote (Tume ya uchaguzi ni yao, Polisi wao) hivyo lazima wajitangaze ni washindi hata wasipopigiwa kura. Kumbuka kuwa kwenye kila kituo kimoja cha kura cha halali kuna vituo "feki viwili" kwa kauli mbiu yao kuwa 80% ya watanzania wapo rural areas na huko CCM inapendwa kweli kweli. Hivyo basi ni lazima Kikwete aendelee, Kampeni zetu ziwe za kumshawishi huyu bwana sasa umefika wakati avae sura yake halisi yaani sura ya "J M Kikwete" aliyefunga akaunti ya Kighoma Malima yenye mabilioni bila woga. Tukiweza kumrudisha Kikwete huyu nina imani mafisadi watakuwa hawana nafasi. Kikwete ambaye washauri wake hawatakuwa kina Kingunge, Makamba, Lowassa, RO.

  Vinginevyo hizi kempeni zitaishia kwenye mtandao na mafisadi wataona kuwa njia pekee ni kumueleza kuwa "Either you are with us or you are alone, because the other side doesn't like you either"
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  No no no! Haya ya kum invoke Mungu hayana nafasi.

  Unajua Tanzania na Afrika nzima kwa ujumla wangekuwa wanafikiri kama mimi tungekuwa mbali sana kimaendeleo. Basi tu....
   
 19. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mkuu MwKjj, heshima mbele! Tungependa kuona 3rd alternative. Makosa ya serikali hii yapo tumeyaona na tusingependa kuendelea katika hali hii.

  Watu wangependa kuona badala ya hawa viongozi wa sasa nani akae pale mbele? Wenzetu wa vyama vya upinzani wametuonyesha jinsi kusivyo na tofauti kubwa kisera na wale walioko madarakani.

  Negative campigning siku zote ni temporary na sisiemu wakijirekebisha tutakosa ajenda ya kuzungumzia. Narudia, tunataka 3rd alternative!
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Sep 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  You can't be serious, or are you?

  If you are, you may want to cut down on that crank you've been snorting up your nose coz it's messing you up big time.
   
Loading...