TikTok yaipiku Google kwa wingi wa watumiaji wa mitandao

Vine ndio walianza kabla ya Tiktok, then ikaja Musica.ly ambayo ikanunuliwa na kuwa Tik tok.
kumbe musica.ly ndo tiktok? sasa mbona musica.ly ilikuwa bora kuliko tiktok? au kwasababu yenyewe ilibase kwenye mziki tu lakini tiktok ipo kila secta
 
Great innovation of China.Mara nyingi China walituhumiwa copy paste tech za western sasa wamedhihirisha wanaweza kubuni.
 
Ila mkae mkijua kuwa ata kama Tiktok itakuwa kiasi gani bado Google atapata tu hela kupitia hyo hyo Tiktok maana unatumia play services ya Google.
Alaf Google hailinganishwi na tiktok ungesema Tiktok na Youtube.
Google linganisha na Yandex, Yahoo, baidu (wanaojua washaelewa)
 
Sasa how do these two apps even get compared while the serve different purpose?

TikTok ni app ya videos kama Instagram Google ni search engine. Na matumizi ya google ni makubwa sana how is it possible kuzidiwa na TikTok?
 
1.Mi naombeni kujua
Kule Tik tok kuna mfumo wa kutumia sauti ya mtu na muongeaji ajawa mwengine hivi pale inakuweje...???

2.Hata kucheza cheza kutokana na sauti hapo ikoje...?

Ila China hapa wameua zaidi
 
Sasa how do these two apps even get compared while the serve different purpose?

TikTok ni app ya videos kama Instagram Google ni search engine. Na matumizi ya google ni makubwa sana how is it possible kuzidiwa na TikTok?
Hajui anachokiongea huyo maana kulinganisha Search Engine na video App ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom