Tikisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tikisa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KARIA, Oct 27, 2012.

 1. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wana cc! Habari za muda huu? Wadau wenzangu naomba mnisaidie mawazo yenu kuhusu hii makitu inayoitwa TIKISA inayorushwa ITV! Mimi naona haipo kwa ajili ya mila na desturi zetu! Kwa nini hawa waandaaji wasiwashindanishe washindani kwa asli yetu! Kama nyimbo washindanie Mdundiko, Vanga, Tokomile, Mdumange, Sindimba, n.k. Sio mziki wa wenzetu wakati tuna asili yetu!
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tatizo hyo miziki yetu imepotea haijahifadhiwa vizur mfano ni rahisi kupata cd's za salsa,tango,rhumba,soka kirahis kuliko hy miziki ye2 ya asil
   
 3. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Good night "..... My mke Ciello, Jana ckulala
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  pole mahabuba ulale unono!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  bwana haruai mpya hupaswi kulala, shurti uweke heshima,lol.
  Sasa ukituachia mkeo humu iweje. Ciello, ndoa ya mkeka ndo shida yake, tutakufanyia kitchen party mamii eeh.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Thanks mama... Nimezaliwa cku Kama hii ya Leo 27/10 nimekua Kama mtoto.....vile
   
 7. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Bado nipo, ole wake nione mtu anamsumbua mke wangu. Ciello
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwache alale ujue mie bado sealed so 2medecid akipata likizo twende fungate south lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hapa Harali mtu, ngoja ninywe Amigo nusu chupa maana nimezaliwa masaa 2 yaliyopita, alafu mke wangu na Bahati Sana, Kwako, siku ya Leo nikumbukumbu kubwa sana kwangu. nashelekea kuzaliwa na kua na msichana tena mmbichi Kama wewe.... Lol!
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa watupe ngoma za kwetu zinatosha
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hivi humu kuna mapenzi eeeh mh mbona ajabu sana
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hbd manoah, mbona hujasema tukuimbie na kukuvisha pampaz?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kalagabaho! hujui? humu kila mtu ana wake, kwa kukusaidia usithubutu kuongea na mke wa mtu, hawakawii kukutupia kitu chenye ncha kali!!!!!!
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwambie shosti mana naona ananizengea na vi-like vyake vya kizushi
   
 15. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Teh teh!! Mwambie huyo Ciello, hajui mpenzi wako ni manoah. Ngoja aendelee na hizo like anazotoa atajikuta anapewa live za uso za pua.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol, basi bora yeshe bi kharusi. Manake seal hiyo bila baruti haitoki
   
 17. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kanivisha Ciello msiwe na hofu...
   
Loading...