Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,694
- 1,772
Jameni naombeni radhi kwanza kwa hili ninalotaka kuzungumza. Kuna huyu Jaji wa Tikisa dance hapa ITV, mimi simuelewi kama ni ME au KE kwa swaga zake. Anaitwa JOET, ukimuangalia mienendo yake na jinsi anavyoongea unapata wasiwasi kabisa!