Tigopesa hii si haki

Tigopesa hii si haki

Tigo kwa kweli mnakera sana, nimemtumia mtu laki 2 leo, mimi nimekatwa elfu moja na yeye ili atoe laki 2 kamili imebidi nimuongezee elfu 4500....so nimetuma laki 2 04500....ukijumlisha na ile elfu 1 unapata 5500 ambayo ndyo Total ya makato yenu. Hapana hii si haki mnatuumiza sana wananchi
hili swala walalamikie wabunge ndiyooo wa CCM waliopitisha sheria ya kodi kwenye miamala.
 
kama unaona ni gali kapange foleni.hii ni biashara huria ndg.kuna watu wapo kw ajili ya kufanikisha hii huduma unafikiri watalipwa je?
Kwa hiyo kama biashara huria ndiyo mtuibie?? Kingine usinipangie cha kuongea, nimetoa kero yangu.
 
huo sio wizi.hiyo ni biashara.unahaki ya kuamua upewe huduma au usipewe.kwaiyo msiseme tigo waizi semeni garama za tigo ni ghali.
 
Kwa hiyo kama biashara huria ndiyo mtuibie?? Kingine usinipangie cha kuongea, nimetoa kero yangu.
Kipindi mnaambiwa VAT kwenye miamala ya pesa italipwa na mteja mlileta poroja za TRA eti makampuni ndo yatalipa maana hapo kabla yalikuwa hayalipi baada ya ukweli kuwa wazi mnaanza kulalamika nn sasa? Ndo wale mkiambiwa Mtukufu sana anakosea mnaleta kibwagizo cha hapa kazi tu. Tulia hapo hapo maana tatizo siyo tigo bali tatizo ni CCM.
 
Sio kila kitu lazima uingize siasa.
 
Kipindi mnaambiwa VAT kwenye miamala ya pesa italipwa na mteja mlileta poroja za TRA eti makampuni ndo yatalipa maana hapo kabla yalikuwa hayalipi baada ya ukweli kuwa wazi mnaanza kulalamika nn sasa? Ndo wale mkiambiwa Mtukufu sana anakosea mnaleta kibwagizo cha hapa kazi tu. Tulia hapo hapo maana tatizo siyo tigo bali tatizo ni CCM.

Unaoneje si ungekodi taxi au ungepanda ndege upeleke hizo laki mbili ili zimfikie kamili kama zilivyo kuliko kutumia tigo pesa
 
"Watanzania tujifunze kulipa kodi" Hapa kazi tu.🙄🙄
 
Nakumbuka kuna kiongozi alituhakikishia kwamba bei hazitabadilika, nadhani naye anahitaji kuwajibishwa au kujiwajibisha mwenyewe.
 
Turudi tu benki ukitoa 300,000 unakatwa 800
hilo neno sema nao bank wananiuzi saving charge zao wanafyeka tu hata kama hujaichukua ukiweka elfu kumi kuja kuichukua usishangae 5000
 
Tigo kwa kweli mnakera sana, nimemtumia mtu laki 2 leo, mimi nimekatwa elfu moja na yeye ili atoe laki 2 kamili imebidi nimuongezee elfu 4500....so nimetuma laki 2 04500....ukijumlisha na ile elfu 1 unapata 5500 ambayo ndyo Total ya makato yenu. Hapana hii si haki mnatuumiza sana wananchi
Tatzo lenu masikiliza sana kina zamaradi bajeti amsikilizi matokeo yake mnashangilia vtu msivyo vijua mkija hapa maanza kulia lia
 
Tigo kwa kweli mnakera sana, nimemtumia mtu laki 2 leo, mimi nimekatwa elfu moja na yeye ili atoe laki 2 kamili imebidi nimuongezee elfu 4500....so nimetuma laki 2 04500....ukijumlisha na ile elfu 1 unapata 5500 ambayo ndyo Total ya makato yenu. Hapana hii si haki mnatuumiza sana wananchi
Hapo ata wewe mwenyewe umekosea umeliwa(umekatwa zaidi ya hapo,, umeliwa kutuma--1000'uliyemtumia naye amekatwa 5000|=5000+1000=6000.
Ni hatariiiii!!
 
Back
Top Bottom