Tigo wameshusha bei sasa ni 600k, niwaombe tu wazee wa snapdragon mtupishe kidogo au piteni kimya kimya

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Hi.
Hii simu ina baadhi ya feature za high-end now tigo wanaiuza kwa 600k bei sio mbaya ukilinganisha na simu yenyewe
FB_IMG_1663590901307.jpg
 
Kiukwel Techno/infinix niko nazo mbalimbali sinaga mahaba nazo

Yaan nazitumia nikiwa sina hela ya kununua simu ya maana

Nisameheni lakini wapenzi wa hizo simu.
 
Back
Top Bottom