Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Ipo kwa njia ya airtel money tu...unaenda sehemu ya offer then unachagua internet promo kwa buku tu utaungwanishwa GB 2 for 3 days..tigo nishahama muda
Nenda airtel money *150*60# hii ni airtel money....then nenda no.6 kisha utaona utaona Suv ..hiyo ndio itakupa bando la GB 2 kwa siku 3 kwa buku tu..utaperuzi hadi tigo utaitupa line..maana ni wezi wa kutupwa

Maana tigo kwa buku unapata mb 200 for one day while airtel its 2GB for 3 days..nani mwizi hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
haya makampuni yana tabia ya kuvuta watu halafu wanakuwa wezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HALAFU JUZI TU NIMENUNUA LINE YA CHUO DAAH WAMENIPIGA CHA TEN HIVI HIVI,MASKINI MSIMBAZI WANGU🙁🙁🙁
 
Naona kifurushi cha chuo kimerejea tena leo kwenye Tigo.
Dah! Vyuma vilikuwa vimeanza kukaza, lakini naona vimeachia.

Kweli kila mtu ni mwanachuo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom