Kama unatumia smartphone huna haja y kuulizia umetumia mb ngapi unaweza kutumia huduma y data usage kwenye settingAirtel nao wameanza uwizi sasa ivi huwezi kuangalia mb zimebaki ngapi sasa sijui ni cm yangu tuu au ni wote wanao jiunga na vocha za uni
Hi ndo tiket ya kuwahama aiseeNilikuwa najaribu kujiunga tigo vifurushi vya chuo kwa namba ile ya *148*00# naona ile menyu ya university offer haipo
Sijui kwenye bando itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najaribu kujiunga tigo vifurushi vya chuo kwa namba ile ya *148*00# naona ile menyu ya university offer haipo
Sijui kwenye bando itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombaaa maelezo apaaaaaaa mkuu plzzzzzNjia nzuri ya kusaidia kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya mb ktk simu ni customize hiyo device yako. Unaweza kuzima baadhi ya apps kurun ktk background, isipokuwa zile zenye ulazima tu.
Mfano mimi apps ambazo nimeziruhusu zifanye kazi kote (background na foreground) ni chrome, whatsapp, messenger na gmail. Nyinginezo pindi niingaapo (foreground) ndio zinakuwa active.
Nenda; Settings > Data usage > Chagua App husika hapa utaona kuna option ya kurestrict background data.
Mbona nimejiunga jana ama laini yako ya zamaniNilikuwa najaribu kujiunga tigo vifurushi vya chuo kwa namba ile ya *148*00# naona ile menyu ya university offer haipo
Sijui kwenye bando itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanatutest!Kulikua na tatizo la kiufundi! Sasa kimerejea