Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

*148*01*20# hapo utapata Ila bundle za zamani. I.e mb 300 Kwa siku 3
 
Duh nnabahat sana ndio nmewakimbia week hii now nipo halotel, wamewaletea hii
039dd717ccc00914ad442f50d3892513.jpg


Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli.
TiGo wasanii sana
Tigo wanajifanya hawajui kua wako watu wanategemea Bytes kuliko kupiga simu na kutuma msg za kawaida. Wako kianalogia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona imetokea leo.
nina mpango wa kujiunga na kifurushi cha texts mwezi mzima haina kupiga wala nini internet mara 1 kwa wiki tu dadeki!
 
Akufukuzaye hakuambii toka, utaona matendo tu. Wakiona mauzo yameshuka kwa kasi ya makinikia watakuja na offer ya sekondari/msingi offer. yenye mb20. Ukifungua attachement tu wanapuliza
 
Back
Top Bottom