Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Kupitia *148*00# ww kupitia wap
Hiyo hiyo
Screenshot_2017-09-05-05-27-05.png
kama hivi[emoji116]
 
Airtel nao wameanza uwizi sasa ivi huwezi kuangalia mb zimebaki ngapi sasa sijui ni cm yangu tuu au ni wote wanao jiunga na vocha za uni



ukipiga hiyo *149*94# wanakwambia vocha haipo..

piga hii *149*81# halafu chagua namba 5 hapo kwenye salio ...
 
me npo voda kifurushi cha chuo 2 gb ya day pack na 2gb night pack 2500 au 1gb ya day 1gb night pack

G.O.M.D
 
Back
Top Bottom