Tigo wameniibia pesa: Naomba uzoefu wenu kupambana na wizi huu

Inawezekana mtoa huduma ajakupa taarifa kamili, uwa inatokea kunafanyika manual refund kutoka HQ moja kwa moja na mtoa huduma haoni au hapati picha kamili labda kwa mtoa mzoefu, scenario uwa hivi unaweza ukawa umetoa hela bank au mtu amekutumia fedha kutoka benk kuja kwenye tigopesa yako, sasa kinachofanyika tigo wao ndio wanakuwekea hela yao na sio bank, tigo wanapokea fedha kupitia akaunti nyingine kabisa sasa basi hiyo hela inatokea kwamba tigo hawajaipata kabisa sasa tigo wana kuvizia siku ukiweka hela kwa kuwa wao hawajalipwa na benki na wakati huo wewe ushatumia hela waliyo kuwekea
 
Back
Top Bottom