Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Tigo mnajali wateja, hizi bando si mchezo

Isije kuwa wanafanya hivyo kupoza machungu ya mtandao wao jana wa tigo pesa kuchelewesha huduma za kifedha.
 
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo

Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB

Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna technical issue imesababisha tuone hizo bando motomoto, msibadili, wacha wateja tufaidi. Shikilieni hapo hapo.

Kusema ukweli nilikuwa nimeshaamua kujiunga na mtandao wa Taifa lakini kwa bando hizi, 500 yangu kwa siku mtaendelea kuipata.

Ila fanyeni kwamba MB zikibaki, ninaponunua kifurushi kingine nizipate ila muda unapokuwa umeisha nisiweze kuzitumia hadi ninunue kingine.

Tabutupu
Dodoma,

View attachment 1358100

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi wananipa 250 mins all network, SMS 100,3.5 GB weekly kwa 1,500/=……… I'm really surprised
 
Hawa wanatuvuta kwa muda tu, then watatukaanga upya.

Mimi kwenye size yako waliniondolea vifurushi vya chini ya 10,000.

Leo ndo naona wamerudisha.
Mimi vilikuwepo... Ila leo ndo kama wamefanya kufuru... Sema cha jero ndo hakipo halafu na mimi sipendelei sana kutumia vya jero... Hivyo wamegonga penyewe
 
Tigo wamenikosha kwakweli
Hiyo mwezi
Screenshot_20200215-093233_Contacts.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ukiangalia karibuni wote waliongezewa bundle....
Hazifanani...
Mwingne anapewa dk nying anabanwa Mbs..and vice versa..

Mwingne Anapewa MBs hapewi dk and vice versa..

Mwingne anapewa Cha wiki mwingne siku...
n.k n.k

Pia nahisi hii ofa ni ya usumbufu ya Tigopesa iliyotokea janaa..

Kuna uwezekano waifute soon...
km umepewa cha Mwezi jiongeze mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom