Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

J.....k alimuingiza chaka lakini bado manguli wetu wa tasnia ya habari ni shida sana kwa level ya Muhando alitakiwa kuwa na media house yake baada ya kustafu toka BBC ila kwakukuwa bongo zetu ni zimekaa kuajiriwa tu basi ndiyo hivyo tena
 
Mtoa habari anaonekana ana negative thoughts towards Tido,, but swali moja najiuliza, why Tido saivi wakati TBC ishabadilishwa wakurugenzi mara mbili toka uongozi wa JK hadi saiv wa JPM??? Embu ngoja tuendelee kuiskilizia hii ishu
 
wewe umejiajiri?
 
So basically, mtu mmoja ana uwezo wa kuuza shirika bila wengine kujua...
Ila naomba kuelezwa, sasa inakuwaje na mtu kama Ayoub anashindwa kurekebisha matatizo hayo?
Au nyani walewale?
 
Uzuri waziri wake wa Habari alikuwa Mkuchika na uzi umenukuu akitoa ufafanuzi ishu husika.

Mkuchika kwa bahati nzuri yupo na ndiye mwenye dhamana ya utawala bora.
 
wewe umejiajiri?
Nimeandikia gazeti la mwananchi wakati linaanza miaaka ya tisini nikatoka nikaajiriwa media kadhaa kufika 2010 niakamua kujiajiri.

Mkuu kama una kazi za printing , signage, booklets etc. Karibu sana karibu sana.

Pia kama una mahitaji ya solar naomba unipe kazi
 
Bravo! Nakupongeza nikipata mtu anataka hudum akama hiyo nitakutaarifu!
 
Mtoa habari anaonekana ana negative thoughts towards Tido,, but swali moja najiuliza, why Tido saivi wakati TBC ishabadilishwa wakurugenzi mara mbili toka uongozi wa JK hadi saiv wa JPM??? Embu ngoja tuendelee kuiskilizia hii ishu
FYI and necessary action aliyemuondoa Tido hakua JK Bali influence ya Makamba na PM Wa kipindi husika sababu ilikua pesa ilitoka UNDP ya mchakato majimboni Mil.900 kama production fee na accommodation Wa crew..Katazo LA makamba kuzuia wabunge mdahaloni likaja too late jamaa akatoa green light kwa vijana wapite majimboni licha ya ccm kukatazwa! Huyo MTU wenu mnam over rate kama kagame! Tido akaonekana Ku tarnish image ya chama tawala katika uga mpana Wa demokrasia na wananchi kuwahoji wagombea na vipaumbele..Mzee makamba akafanya yake (fitna)
 
ha ha ha mwaka huu tutaskia mambo mengi kwa kila ataeenda kinyume na mawazo ya wakulu
 
Wapo wapi Vyama vya Upinzani kulisema hili...?Wanasubiri GT aseme? au JF...we want them to be ahead ya mambo yanayoendelea.

Bahati Mbaya vyama vyetu vya Upinzani havina wasomi wa kutosha kuweza kukabiliana na kila uozo unaofanyika. Wanasubiri magazeti yaandike, lkn watakuwa hawana watu wa kufanya uchambuzi wa Kina au kufuatilia baada ya Magazeti kuanika uozo huo....!!!

Hii TBC ndio itakayokuja kuwaua Wapinzani kwa matangazo yao...na Hawa wachina ndio Waliocheza mchezo mchafu na CCM kuiba kura za watanzania...2005.."
Leo hii wachina wameiba samaki...Kesi haifanyiki..Ubalozi wa China umewaandikia Barua Wizara husika sheria ichukue mkondo wake...Serikali inapata hasara kuwahifadhi samaki...Kesi haijulikani lini itaisha...
So China tutawapa kila kitu....the so called Wabunge nao "Hovyo"
wapinzani wa sasa wanamtetea
 
J.....k alimuingiza chaka lakini bado manguli wetu wa tasnia ya habari ni shida sana kwa level ya Muhando alitakiwa kuwa na media house yake baada ya kustafu toka BBC ila kwakukuwa bongo zetu ni zimekaa kuajiriwa tu basi ndiyo hivyo tena

Tido kaanza kazi 1969 ( nusu karne) mpaka leo anaajiriwa kwa Wapemba wa Azam

Huyu Mzee Starehe zimemgharimu sana, anashindwa hata na kina Abdallah Majura wana viredio uchwara vyao
 
Back
Top Bottom