Tido mhando na ajira yake, jeff koinage na taaluma yake

Kutoka wikipedia, Jamani JF tuwe tunasema ukweli. Story ya Jeff si hivyo kama wengi tunalazimisha iwe. Kwanza yeye si mmliki wa hiyo Channel, pia alifukuzwa kwa scandal ya ngono. Tuwe wakweli. Hivi credibility yetu iko wapi?
Background
Koinange was born in Kenya and worked with Kenya's first independent television channel KTN Kenya Television Network. He attended Kingsborough Community College in Brooklyn, NY between 1987–1989 and graduated with an Associate's degree. He also received a Bachelor of Arts degree in broadcast journalism from New York University. Prior to joining CNN, Koinange worked for Reuters Television from 1995 to 2001, covering Africa and serving as their chief producer from 1999 to 2001. He also worked as a producer at NBC News in 1994 and also worked for ABC News earlier in his career from 1991 to 1992. Seven months after leaving CNN, Jeff was hired as a News anchor by a new Kenyan TV station, K24, which started doing test runs in Nairobi in December 2007.He is the host of Capital Talk Show a replica of the CNN Larry King Live
[edit] CNN career

Included among the more significant stories Koinange has covered for CNN in Africa were the crisis in Darfur, the civil wars in Liberia and Sierra Leone and the famine in Niger, for which Koinange won an Emmy award.
Most recently, in early 2007, Koinange was reprimanded by the government of Nigeria for his coverage[1] of the Movement for the Emanicipation of the Niger Delta (MEND). In his report, Koinange accompanied masked MEND guerillas to a camp where they were holding a number of Filipino hostages. The Nigerian government said that the report was "staged", a charge CNN denies.[2]
Koinange has also covered news outside of Africa, including extensive reporting on the aftermath of the Hurricane Katrina crisis as well as the Iraq War.[3]
On May 29, 2007, CNN announced that Koinange was no longer employed by the network. He had apparently been caught up with some sex scandal that CNN did not want to become associated with.[4]
 
Ni kweli hawafanani. Tido alistaafu kazi yake kwa heshima lakini Jeff alifukuzwa kwa scandal ya ngono. TIDO ni director wa TBC ambayo inamilikiwa na serikali lakini Jeff ni host tu wa kipindi kwenye television.
 
Acheni majungu wakubwa, kwani mafanikio ni lazima aanzishe media? huwezi jua ame invest kwenye sector gani. Hayo ni mambo binafsi acheni umbeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Tido piga kazi yako uki staafu anza kufanya vitu vyako. Kama utarudi Tanga kuanzisha kilabu cha pombe ya denge au utabaki Dar ufungue genge uwanja wa fisi yote maisha.

Nimependa (coloured)

TBC: UKWELI NA UHAKIKA
 
TBC kabla ya Tido ilikuwa TVT, Tido alipokuja akaikarabati kwa kuigiza KBC, BBC ikawa TBC. Hope umenipata mzee Pasco. Vinginevyo alianzisha ushindani wa chuki dhidi ya ITV na kukumbatia mafisadi!
Mwanalugali, ninamaanisha fanya comparison ya TBC aliyoikuta Tido na TBC hii ya sasa ya Tido. For the sake of credibility, unapo toa lawama pia unatakiwa kuwe mkweli ili hizo lawama zisigeuzwe chuki binafsi.
 
hv kunani hapo TBC leo asubuhi mtangazaji mmo1 alikuwa akisoma vichwa vya hbr vya magazeti alipofika gazeti la TZ DAIMA akastop fasta na kuanza kusoma hbr za michezo za magazeti mengine.
 
hv kunani hapo TBC leo asubuhi mtangazaji mmo1 alikuwa akisoma vichwa vya hbr vya magazeti alipofika gazeti la TZ DAIMA akastop fasta na kuanza kusoma hbr za michezo za magazeti mengine.

Hiyo ndiyo TBC ya Tido Mhando anayotaka Pasco tuipe credits!! Taaluma waliiacha uingereza kwenye BBC na kutuletea ubabaishaji tu hapa!
 
Kwa kweli kwa hili la Tido kutoka BBC na kuja kuajiriwa na TVT amejishushia hadhi na heshima. Ni bora angeomba achaguliwe kwenye bodi! Taaluma yake haitumiki pale nadhani hoja ya yeye kuwa na media ni sahihi angalia mfano wa kina Jenerali Ulimwengu wanaheshimika kwenye jamii. Tido akitaka kumhoji Kikwete maswali yanatakiwa kupelekwa yafanyiwe editing!
 
ya tido tumwachie tido lakini Koinage alifuzwa kwa kashfa, alitumia nafasi yake kuendeleza mahusiano ya ngono yasiyofaa pia alihonga kutengeneza story fake, ndo huyu mnataka kutuambia eti ni mfano wakuigwa?

pia nasikitika sana sana kwamba home of great thinkers imevamiwa, mtu katoa hoja, yumkini hoja yake iko na kasoro mi sina shida na hilo, tatizo wachangiaji, no reasoning, no research watu wanakurupuka tu na kuanza kuponda.

No research, No right to comment!
 
Hiyo ndiyo TBC ya Tido Mhando anayotaka Pasco tuipe credits!! Taaluma waliiacha uingereza kwenye BBC na kutuletea ubabaishaji tu hapa!
MWANALUGALI, just be fair, hivi wewe uliijua TBC kabla Tido hajaja, ama umeijua tuu TBC ya Tido na kutaka iwe kama BBC?.
Nimesisitiza tuu, fanya comparison TVT ilipotoka kabla ya Tido na ilipo sasa ili kujua kama inazonga mbele, imesisima ama inadidimia!.
Kinyume cha hapo, haya sasa ni majungu!.
Simanishi Tido is perfect, wala simanishi TBC is the best, lakini hapo ilipo its better 100 times kuliko ilipotoka!.
 
pia nasikitika sana sana kwamba home of great thinkers imevamiwa, mtu katoa hoja, yumkini hoja yake iko na kasoro mi sina shida na hilo, tatizo wachangiaji, no reasoning, no research watu wanakurupuka tu na kuanza kuponda.

No research, No right to comment!
Uswe, asante kwa hii, MWANALUGALI izingatie hii ili kuepuka kuifanya JF ni kichaka cha wapika majungu!.
 
Sisi wabongo wachoyo wa credit, na hutoa credit kwa mtu asiyestahili. Hivi umeshajiuliza na kukumbuka kabla ya Tido kuwa mkurugenzi wa TBC, enzi hizo TVT ilikuwaje? Nani alikuwa anaangalia hiyo channel?

Huenda kweli Tido ana matatizo yake, lakini siwezi kumkosoa kwa mageuzi makubwa aliyofanya, siyo tu TBC, lakini TV industry ya Tanzania ilikuwa imelala mpaka alipowaamsha usingizini.

Kuhusu kuonekana anapendelea upande fulani, lazima mtambue kuwa kosa siyo lake, bali ni la wanasiasa wa Tanzania ( mfumo wa uendeshaji wa mambo yetu ni mbovu across the board). I can assure you, siku Tido akiondoka pale, mtamkumbuka kuwa at least alikuwa na msimamo wa kufanya kazi zake anavyoona yeye ni sahihi. Sioni mtu mwingine atakuwa na balls za kuwakatalia "wazito" wasiendeshe agenda ya TBC. Tuombe uzima tu.
 
geek, asante kwa kuliona hili, wakati wa kampeni, kampuni moja ya kutayarisha vipindi vya redio na Televisheni kwa jina la PPR, ilipeleka program kadhaa kwa ajili ya uchaguzi, zile zole zilizoonekana kumpigia JK chapuo kiaina, zilipigwa chini, wakaambia Tido kazigomea kata kata!

Hao PPR, wakabadili baadhi ya program, wakamweka JK akitekeleza majukumu muhimu ya kitaifa, kwa kudhani, labda wakiona ni program ya JK, wataigwaya na kuirusha, ..no waliipiga chini bila huruma!.
 
Acheni majungu wakubwa, kwani mafanikio ni lazima aanzishe media? huwezi jua ame invest kwenye sector gani. Hayo ni mambo binafsi acheni umbeaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Tido piga kazi yako uki staafu anza kufanya vitu vyako. Kama utarudi Tanga kuanzisha kilabu cha pombe ya denge au utabaki Dar ufungue genge uwanja wa fisi yote maisha.
Wacha weeee! acha kumjaza mwenzio ujinga,sema kweli ili umuokoe,kusema ukweli siwezi kufanya kazi nje kwa miaka yote hiyo nije kuajiriwa tena!wa tz tunauoga wa kujitegemea mbao sijui ni nani atatuondolea
 
Nyerere na serikali yake walituongoza kwa uadilifu na kutufundisha Elimu ya ujamaa na kujitegemea lakini inaelekea katika masomo yao haya walishindwa kabisa! Kwa nini wana taaluma wetu hawakujifunza kujitegemea?

Tido Mhando alifanya kazi BBC kwa mafanikio makubwa, lakini alivyorejea hapa Tanzania alirudi mikono mitupu na kuajiriwa kama Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la taifa ambako amejisahau na hajali taaluma yake wala uzoefu aliopata akiwa BBC.

Mwenzake Jeff Koinage WA Kenya alifanya kazi CNN kwa mafanikio lakini aliporejea kwao akaanzisha kituo cha television cha K24 ambacho kinafanya vizuri sana ( kiko kwenye DSTV channel 413) Hiki ni kituo kinachokuza na kuonyesha Taaluma inavyo thaminiwa na kumjenga mtu!
Kwa Tido, vijana wa Tanzania wanajifunza kujipendekeza na kutokuthamini taaluma lakini kwa Koinage, vijana wa Kenya wanajifunza umuhimu wa taaluma na taaluma kuwasaidia kujitegemea!
Nawasilisha kwa mjadala!

Hata ungewafanyia nini, ........hata ukiwalamba miguu namna gani, CCM hawatabiriki!!!!!!! , .........CCM ni dude lisilotabirika wala kuwa na mwelekeo!!!!!

RIP Mr. Mhando
 
Jamani pale Tibithi pagumu sana jamaa wamemuumiza sana mie jamaa zangu wako
pale wanalalamika hawalali kwa siasa za giza tu za pale mjengoni.
 
Kuna tetesi zisizothibitishwa za ubadhirifu chini ya uongozi wa Tido, ndani ta TBC.Inase,emkana kuna vifaa(spares) hewa zimeagizwa na hazionekani, wakuu wanajikanyaga!

Pia kuna tetesi kuwa radio zote za FM zinazomilikiwa na TBC nchi mzima Power yake Imeshuka Mafundi wakitoa Taarifa Tido hataki kununua Spareparts nadhani alikuwa akijua kuwa anatoka, kuna mtu mmoja anaitwa Mwafisi huyu jamaa aliifikisha RTD/TVT sehemu Mzuri matokeo yake sijui kwa vigezo gani aliteuliwa Tido Mshahara 12M Tshs kwa mwezi nje ya Marupurupu (alikuwa anachukua 3M Tshs tu kwenye Mshahara wake mpaka juzijuzi tu akapewa Tshs 600M za malimbikizo) ameiacha masikini TBC kwenye hali mbaya, ningekuwa na uwezo wa kuazisha Radio/TV Stations ningemtafuta mzee Mwafisi sijui yuko wapi? aiokoe TBC, tatizo wachapa kazi nchi hii hawapendwiiiiiiiii.....................................natamani kuhama hii nchi nisiione tena
 
Nyerere na serikali yake walituongoza kwa uadilifu na kutufundisha Elimu ya ujamaa na kujitegemea lakini inaelekea katika masomo yao haya walishindwa kabisa! Kwa nini wana taaluma wetu hawakujifunza kujitegemea?

Tido Mhando alifanya kazi BBC kwa mafanikio makubwa, lakini alivyorejea hapa Tanzania alirudi mikono mitupu na kuajiriwa kama Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la taifa ambako amejisahau na hajali taaluma yake wala uzoefu aliopata akiwa BBC.

Mwenzake Jeff Koinage WA Kenya alifanya kazi CNN kwa mafanikio lakini aliporejea kwao akaanzisha kituo cha television cha K24 ambacho kinafanya vizuri sana ( kiko kwenye DSTV channel 413) Hiki ni kituo kinachokuza na kuonyesha Taaluma inavyo thaminiwa na kumjenga mtu!
Kwa Tido, vijana wa Tanzania wanajifunza kujipendekeza na kutokuthamini taaluma lakini kwa Koinage, vijana wa Kenya wanajifunza umuhimu wa taaluma na taaluma kuwasaidia kujitegemea!
Nawasilisha kwa mjadala!
Ahsante sana mkuu, mwanzoni nilihisi kaonewa. Lakini sasa nimeamini kuwa kwa kufananisha na wadhifa liokuwa nao hakupaswa kuishia hapo alipofikia. Tido chukua hiyo kuwa ni changamoto ujipange na sio kufikiria kuajiriwa na EL kwenye ABC Media Group. Muulize Sango kipozi amewezaje na unashindwaje?
Shukran sana Mwanalugali umenifungua macho
 
Back
Top Bottom