Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
Tatizo sio ukabila bali ni asili:
Wachaga biashara - TRA& Banks
Wahaya Sheria - Advocates
Wakuria ngangari - Vyombo vya usalama
Wasukuma - maafisa ugani
Wagogo - NGOs
WABONDEI MDOMO- RADIO/TV
Ndiyo maana yakeWagogo NGOs....hahaaa
Kwa hiyo na Rutashubyanyuma ni lawyer?
acha wivu kama na wewe unataka kutangaza soma uaply ukiwa na vigezo utapata mind u hata rushwa ni vigezo bongogreatthinkers
hivi hakuna watanzania wengine wanaoweza kutangaza?
Kwa nini tbc imejaa ukoo mmoja?
Tido kwangu ni kicheff cheff:a s-smoking:
Think.
Hoja iwe ni je hao akina mhando wanaweza kazi??? Kama hawawezi, tutajua kuwa ajira zao zilitolewa kwa upendeleo. Kama wanadunda kazi basi hakuna tatizo.
Tatizo sio ukabila bali ni asili:
Wachaga biashara - TRA& Banks
Wahaya Sheria - Advocates
Wakuria ngangari - Vyombo vya usalama
Wasukuma - maafisa ugani
Wagogo - NGOs
WABONDEI MDOMO- RADIO/TV
Kama sivyo basi ni mtetezi wa haki na mwanaharakati kupitia taaluma yake e.g. IT kwikwikwi - just joking!Kwa hiyo na Rutashubyanyuma ni lawyer?
Tukiwakuta ndugu au ukoo mmoja kwenye fani nyingine hatulalamiki! kosa ikiwa kwenye ajira hapo ndo utasikia mambo! Mbona kwenye soka hatujalalamika ukoo wa akina Manara, Kihwelu n.k. Hebu tuwaache wachape kazi! Inawezekana ukoo wao walipomwona ndugu yao Tido anafanya vizuri na wengine wakavutiwa wakaamua kusomea taaluma ya utangazaji au haujui kama utangazaji unasomewa?
Wabondei wangu hebu chapeni mzigo hata kama mnatoka familia moja nani anajali? CV zenu ziliruhusu kuajiriwa TBC bwana!
Kweli Tido ni kichwa kama ni kweli alishawishiwa kurudi nchini enzi za "Boys II Men", then he is still safe, ABC inamsubiri.Jamani Tido ni kichwa kizuri sana kile kwenye ile fani yake,tunapoteza mtu potential,mi nafikiri kama kuna redio na TV zinazoweza kumlipa hapa bongo achukue kazi au kama vp afungue yake