lete hiyo sheria hapa ya notisi ya miezi sita, au tutajie vifungu
you better have it
"with all his shortcomings"? unajuaje kama moja ya "shortcomings" zake ni kwamba aliiba? kwa nini usema awe respected wakati sote tuna guess guess tu hapa, hatujui kwa nini kawa fired... with all his shortcomings they needed to respect the guy
"I had received a letter for my removal immediately after I had met the permanent secretary for the ministry of information, youth, culture and sports but this is against public employment procedures," he was quoted as saying.
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....
Wanataka kutuambia ya kuwa hata Tido hajui tofauti ya mkataba kwisha na kuachishwa kazi? Ni vyema wakawa wakweli hapa..............
Mmh mkuu sio wizara ya habari? (swali juu ya swali...kibongobongo)Ukweli mkataba uliisha tuache double standard
Hivi kwanza TBC si iko chini ya ofisi Waziri mkuu.?
Mmh mkuu sio wizara ya habari? (swali juu ya swali...kibongobongo)
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....
Achoelezea TIDO ni kuwa its TRUE kuwa alikua anajua kuwa Makataba wake unakwisha ila kwa kufuata taratibu ni kuwa alitakiwa afahamishwa six month b4, ila Serikali imempa barua Ghafla sana.....Ila kwa experience yake sidhani kama atakosa pa kujishikiza afterall kiinua mgongo chake ni Mtaji tosha sana kwa kuwa B'ness tycoon hapa Bongo...Alitakiwa kusoma alama za nyakati...Hii nchi Wahindi wameshatuharibu, Wanashida watakuthamini, ukiwatimizia wanakutupa.....Karibu kijiweni TIDO....
nakubaliana na wewe William kwa aslimia zote...
Jana nilisema na leo narudia kuwa huyu Tido kama mkataba umesitishwa kinyume na sheria, si vipo vyombo husika? Ya nini analialia kwa public ili apate huruma au?
And now the Premier, huyu Pinda bwana aaaagrrrr! Nini kazi ya wizara ya habari, utamaduni na michezo (si ndio walimwajiri na 'kumfukuza' Tido?)[/QUOTE]
Mie nakubaliana na wengi wanaosema kuwa angalau TIDO alijitahidi kuifikisha mahali hapo ilipo TBC ila napingana nao wanaposema kuwa alikuwa balanced wakati wa kampeni, hii si kweli kabisa maana alikuwa anapendelea sana CCM, na hilo liko wazi kwa yeyote aliyekuwa anafuatilia kampeni za uchaguzi, ilifikia wakati nikawa naichukia sana TBC, Isitoshe kama yeye TIDO alikuwa anajua kuwa mkataba wake unaisha alifanya jitihada gani kufuatilia ili kujua kama utaongezwa au la?
Pia nadhani angekuwa mpole inawezekana Mh Raisi anampango wa kumteua kuwa mbunge sababu aliibeba sana CCM ila inawezekana hajaambiwa nini atapewa ndo maana anahangaika.
Kuhusu waziri mkuu kuongelea suala la TIDO mie naona wala hajakosea maana waziri mkuu ni waziri wa wizara zote.
Nawakilisha.
- Ndio maana tunasema sana kwamba hili taifa tuna safari ndefu sana kufika tunakokwenda, I mean I have a lot of respect for Tido, good man, Good CEO: HOWEVER why the fuss here? Alikuwa ameajiriwa na serikali ambayo kama siko mbali na ukweli haikuridhika na uendeshaji wake wa chombo chake, sasa kama waajiri wake wameamua kwamba hawamuhitaji katika kukidhi interest za serikali ndani ya TBC!
- Now what is the problem here? A sitting Prime Minister anaacha shughuli zake muhimu za taifa anakuja kujibu non national ishus like this? I mean what is wrong with this nation? I am lost!
- Look Dan Rather ametoa news ambazo hazikuendana na policies za CBC Inc, wakamfukuza kazi, hakuridhika boom kwenye sheria, akashindwa case closed! Kama Tido ameonewa si kuna sheria, kama ile iliyomlazimisha Rais mkapa kuwalipa maofisa wa BOT na Polisi aliowafukuza illegally!
- Hili taifa vipi?
William.