Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Tido hajafukuzwa ila mkataba wake umekwisha. Hajatolewa TBC bali kamaliza mkataba wake TBC. Labda tujadili kwanini wasimpe tena mkataba mwingine au kwanini wampe tena mkataba mwingine.
Anaenda kwa Lowassa Radio!
yaani ukitaja jina la TIDo nasikia kutapika
Wandugu,
tusisitize mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!. Hao Mhando's ni majina tuu. Tido angkuwa na nepotism, angemuajiri last born wa familia yake, Jane Mhando (RIP) ambaye alikuwa very competent kwenye broadcasting.
By the way, Tido anastaafu rasmi tarehe 31/12/2010. Hivyo kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma, sasa hivi lazima atakuwa likizo ya lazima na atakuwa tayari ameisha kabidhi ofisi kwa mtu wa chini yake akikaimu kusubiri mteuliwa mpya.
huwezi kupewa notice ya miezi 6!why didn't they follow the protocal and let him know 6 months
Tatizo sio ukabila bali ni asili:
Wachaga biashara - TRA& Banks
Wahaya Sheria - Advocates
Wakuria ngangari - Vyombo vya usalama
Wasukuma - maafisa ugani
Wagogo - NGOs
WABONDEI MDOMO- RADIO/TV
Nadhani habari za kina na uchambuzi zinatakiwa kumwagwa hapa kabla ya kuanza kukimbilia kuwa kaonewa hasa mleta taarifa unaposema kuwa "BAADA YA MKATABA WAKE (WA KAZI KUISHA)".
Mkataba wa ajira ukiisha kama mlivyokubaliana huwezi kulazimisha kwa ni lazima wewe uendelee (maana haikuwa sehemu ya makubaliano). Kwa maana nyingine ni suala la Mwajiri na wewe (Mwajiriwa) wote kukubali kuwa uendelea na hivyo mkataba mwingine mpya unatengezenwa.
Je kama Tido ndiye angeamua kutokutaka mkataba mpya tungekimbilia kuhitimishaje?
Mwajiri anaweza kuona kuwa kuna wengine wana sifa zaidi kuliko huyu. Halafu tuwe pia na utamaduni wa wakati mwingine kupokea mabadiliko bila kutafuta mchawi.
huwezi kupewa notice ya miezi 6!
utahujumu kampuni
follow protocol, whose protocol? you follow the contract, in fact they coulda fired him even before the 4 yrs they gave him if they wanted to, for heavens sake, I bet you that's in the contract too
he's lucky they even let him finish his term with the footloose expertise he brought to TBC
huwezi kupewa notice ya miezi 6!utahujumu kampuni
follow protocol, whose protocol? you follow the contract, in fact they coulda fired him even before the 4 yrs they gave him if they wanted to, for heavens sake, I bet you that's in the contract too he's lucky they even let him finish his term with the footloose expertise he brought to TBC
Nadhani habari za kina na uchambuzi zinatakiwa kumwagwa hapa kabla ya kuanza kukimbilia kuwa kaonewa hasa mleta taarifa unaposema kuwa "BAADA YA MKATABA WAKE (WA KAZI KUISHA)".
Mkataba wa ajira ukiisha kama mlivyokubaliana huwezi kulazimisha kwa ni lazima wewe uendelee (maana haikuwa sehemu ya makubaliano). Kwa maana nyingine ni suala la Mwajiri na wewe (Mwajiriwa) wote kukubali kuwa uendelea na hivyo mkataba mwingine mpya unatengezenwa.
Je kama Tido ndiye angeamua kutokutaka mkataba mpya tungekimbilia kuhitimishaje?
Mwajiri anaweza kuona kuwa kuna wengine wana sifa zaidi kuliko huyu. Halafu tuwe pia na utamaduni wa wakati mwingine kupokea mabadiliko bila kutafuta mchawi.
lete hiyo sheria hapa ya notisi ya miezi sita, au tutajie vifunguKisheria kama uko kwenye mkataba wa kazi ambao unaisha na mwajiri hana nia ya kutaka ku-renew huo mkatataba inabidi akupe notice ya miezi sita to that effect.