Tido Mhando atemwa TBC

Nasikia hata jina la TBC litafutwa ili lirudi lile la zamani RTD, kwani huyu jamaaa amewafanya baadhi ya wafanyakazi TBC wakose Morali wa kazi kwa kuwapendelea baadhi yao na ndio hao wanaolialia maana sasa ni kazi tu na si majungu aende tu, juzijuzi 2 amelipwa Tshs 12M za malimbikizo ya Mshahara ambao alikuwa hachukui kwa kuwa alikuwa anapata marupurupu makubwa na mshahara akaona ukae tu, hata hivyo mkewe bado yuko ulaya aende tu alizidi kujikomba amewaharibia sana wafanyakazi walioacha kazi sehemu zingine na kuja TBC. Toka............ Toka............ Toka....................... (Wachina miaka 25 ndipo tuachiwe Mitambo michakavu aibu sana)
 
Pamoja na kuwa na mkataba na ukaisha haiingii akilini kumpa barua akabidhi ofisi katika siku mbili, hii haina tofauti na kumkamata mke wako ugoni ukamfungia virago
 
greatthinkers
hivi hakuna watanzania wengine wanaoweza kutangaza?
Kwa nini tbc imejaa ukoo mmoja?

Tido kwangu ni kicheff cheff:a s-smoking:

Think.

mbona ulitetea kujaa ndugu chadema kwani yeye **** asimwage familia yake embu mwache baba wa watu kaondoka rasmi kama alikunyima ajira sio sehemu ya kumalizia hasira
 
Safi sana jamaa katumia pesa kibau za umma kwa maendeleo ya TBC kwa kiasi kidogo natumai na yule "demu" wake nae watamtoa pale...
 
Sasa Taso anamlalamikia nani? The public? ili tumsaidie vipi? Ku sympasize naye?

Kwa hilo naona hana haja ya kulalamika nje nje, aende kwa vyombo husika huko apewe haki hake!
 
Sina mengi ya kusema but this twist ni vigumu sana kuielewa
 
Safi sana jamaa katumia pesa kibau za umma kwa maendeleo ya TBC kwa kiasi kidogo natumai na yule "demu" wake nae watamtoa pale...

Duh!mkuu mbona unaonekana una chuki binafsi ya hali ya juu,huo sio uungwana hata kidogo!
 
Ridiculous!
mlishindwaje kuone hizo positive changes alipokuwa kwenye nafasi yake? Hamkutambua alifanya kazi under pressure mpaka sasa ndo mnaona!!!?
Yale yale kumsifia marehemu....
 
wtf!!!!!kwa comment hii uliyotoa kweli wewe ni mjini chai
 
Sasa Taso anamlalamikia nani? The public? ili tumsaidie vipi? Ku sympasize naye?

Kwa hilo naona hana haja ya kulalamika nje nje, aende kwa vyombo husika huko apewe haki hake!
halafu anataka notice ya miezi sita, ushawahi sikia hilo, labda mi mshamba wa mikataba.

Hivi muajiri gani atakuachia ofisi yake miezi sita wakati unajua amesha ku fire? Si unaweza kuhujumu ofisi?
 
Kwa madudu niliyoyaona ambayo yamenifanya nibakie kuangalia mpira tu unapotaja TBC sidhani kama sentensi hii ni sahihi! Hivi kwa nini tangazo lile la nanihii walilitoa tena likiwa na sahihi ya Tido?
 
duh!mkuu mbona unaonekana una chuki binafsi ya hali ya juu,huo sio uungwana hata kidogo!

before kuna watu walikuwa watoa comments zilikokuwa negative kuhusu tido leo hii hao hao wanatoa positive comments kuhusu tido baada ya kuachishwa kazi ndio yale ya kumsifia mtu baada ya kufariki
 
halafu anataka notice ya miezi sita, ushawahi sikia hilo, labda mi mshamba wa mikataba.

Hivi muajiri gani atakuachia ofisi yake miezi sita wakati unajua amesha ku fire? Si unaweza kuhujumu ofisi?

Hapo sasa! mikataba mingi kwenye kipengele cha termination kuna clause ya notice au kulipwa badala ya notice ili kuepuka ofisi kuhujumiwa.
All in all if he thinks it was unfair termination...hilo rahisi sana, asongeshe malalmiko kunako husika. Aache kulilia hapa.
 
Mkataba umekwisha na serikali haijaamua kuingia naye mkataba mpya........! only issue hapo ni kutokufuata taratibu za mikataba....ie 6 months notice basi!
 
Naona kama vile siasa imechukua mkondo wake.Huyu jamaa atakuwa amepishana kitu na jamaa zake wa CCM!
 
before kuna watu walikuwa watoa comments zilikokuwa negative kuhusu tido leo hii hao hao wanatoa positive comments kuhusu tido baada ya kuachishwa kazi ndio yale ya kumsifia mtu baada ya kufariki

YAani hicho ndo kinanitatiza, kama kuna mtu alikuwa hamfahamu Tido na alisoma koments humu alipata tu negative impression kuhusu huyu bwana.
To my suprise I woke up this morning nakutana na completely a different image of this Tido guy...
Watu bwana....kama bendera fata upepo tu, ukivuma kuelekea kusi..l.twende!
We can really dance with the rythm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…