TID atukana hewani (via Clouds FM)

Brown ad

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
345
204
Msanii wa kizazi kipya amtukana mtangazaji mara tu baada ya kumpigia simu kumuuliza maswali ndipo msanii huyo alipomtukana mtangazaji.

Source: clouds fm,xxl
 
mmmmmhhh itakuwa umbea wa yule gasho wa xxl lazim..
 
Suddy Brown ebu weka wazi,ulimuuliza swali gani na yeye akajibu vipi? Weka hata * kati kati ta tusi si tutaelewa tu.
 
Habari ni kuwa sud brown, alikuwa katka kpnd chake u-heard, ambapo almzungumzia msanii wa kund la top band, linaloongozwa na t.i.d, ambaye kavunjka mguu na kwamba wasanii wenzie wa kund hilo akiwemo na boc wake(tid) hawajah kumjulia khal, achilia mbal kumpigia cm ya pole, t.i.d alipopigiwa cm na sud brown, almjbu kwa kumwambia aache us*nge wake wa kumfuatilia na hzo habar awatafute was*nge wenzie awaulizie hzo habar za ks*nge, ilikuwa hewan live.
 
Navyowajua xlaus watasitisha kupiga nyimbo za TID,hila tid ni mtoto wa kiswazi sana yule na ana hasira za mkizi.
 
ah! tide......wewe umeamua kumwambia wazi wenzio wanatukanaga kimyakimya
 
Msanii wa kizazi kipya amtukana mtangazaji mara tu baada ya kumpigia simu kumuuliza maswali ndipo msanii huyo alipomtukana mtangazaji.

Source: clouds fm,xxl

kwani hata clouse si ni kawaida yao kutukana hawataki na wao kutukanwa? Usipojihem unategemea nani atakuhemu?
 
Me nina wasiwasi na watangazi wa Clouds radio coz wanaongea kisenge senge na majungu mengi kama wanawake alafu wanapenda sana kuchochea mambo ya kijinga, bora kawajibu live waache ujinga kabisa!
 
Habari ni kuwa sud brown, alikuwa katka kpnd chake u-heard, ambapo almzungumzia msanii wa kund la top band, linaloongozwa na t.i.d, ambaye kavunjka mguu na kwamba wasanii wenzie wa kund hilo akiwemo na boc wake(tid) hawajah kumjulia khal, achilia mbal kumpigia cm ya pole, t.i.d alipopigiwa cm na sud brown, almjbu kwa kumwambia aache us*nge wake wa kumfuatilia na hzo habar awatafute was*nge wenzie awaulizie hzo habar za ks*nge, ilikuwa hewan live.

safi sana tid,hao mabwenga dawa yao ni kuwatukana tu.
 
kuna mtu aliwahi niambia kuwa huyu soud brown masaburi yake yalishachezewa sasa sijui kama ni kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom