TID atukana hewani (via Clouds FM)

Tid ndiye aliyefungwa kwa kupiga mtu, Pia iliripotiwa amepigana na Hashim sasa ni kipi mnatarajia kutoka kwake zaidi ya hayo. Na wale watangazaji wote wanaotarajia kumualika TID kwenye mahojiano wakae kwa tahadhari, hukawii kupata ngumi ya uso. SALAMA JABIR na mkasi upo ?
 
Kwa akili yako unaona haina uhusiano!ila TID kapanic!hana nyimbo,hapati show,hazungumziwi,hang'oi madem wakali kama zamani,hapendezi!!!!halafu nenda upande wa platinumz ambaye kipindi TID anaheat alikuwa local tu!tatizo hujui effect ya kupoteza mvuto kwa jamii na kuooromoka umaarufu
haina uhusiano kama kupteza umaarufu tid alishapoteza muda kitambo...na wengine wajifunze kuondoka kwa mtu sio sababu ya kumuongelea vibaya na vile muda mwingi yuko bwaksi nadhani vilichangia!
 
Habari ni kuwa sud brown, alikuwa katka kpnd chake u-heard, ambapo almzungumzia msanii wa kund la top band, linaloongozwa na t.i.d, ambaye kavunjka mguu na kwamba wasanii wenzie wa kund hilo akiwemo na boc wake(tid) hawajah kumjulia khal, achilia mbal kumpigia cm ya pole, t.i.d alipopigiwa cm na sud brown, almjbu kwa kumwambia aache us*nge wake wa kumfuatilia na hzo habar awatafute was*nge wenzie awaulizie hzo habar za ks*nge, ilikuwa hewan live.
Kwa hiyo tukubaliane kuwa hakuwatusi bali aliwapa karipio kali kuwa waache u-cameruni na ikiwa hawwwezi basi wakfanyie ubaradhuli wao mbele ya safari ,na hoja ya sijida ,yaani hapo ndio yuko sahihi kabisa ,maaana ile inkutaka uwe mkweli ,muwazi ,jasiri dhidi ya uovu wote!kudo TID way to go!
 
attachment.php


Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom