Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,444
Mwakyembe kaondolewa baada ya kuanza kuigusa Home Shopping Centre kule bandarini ....yaani hapo ndipo alipoingia choo cha kike wenzake wanachuchumaa yeye kasimama....mxxxxxx
It seems watu wanajua mengi sana humu jamvini lakini wanayagusa kimafumbo fumbo na wengine wanadonoa kidooogo!! Tiririka brothe, kagusaje maslahi ya hao wadosi wa HSC?? Ili tuwajue vizuri na bdhaa zao wakanunue wadosi wenzao sisi tuzisuse kabisa