TICTS yamuondoa Dr. Mwakyembe uchukuzi!

TICTS yamuondoa Dr. Mwakyembe uchukuzi!

...sisiem wakikupa uongozi, kwanza unatakiwa kujua kwamba unatakiwa kulinda njia zao wanazotumia vigogo kujiingizia kipato kisicho halali; uwe tayari kulinda ufisadi wao; husiguse njia za kupitisha magendo, kama vile madawa ya kulevya, nk!

Cta amepanda cheo baada ya kufuzu kwenye uchakachuaji wa katiba. Mtu wa kawaida asingeweza ule usanii. Ebu jaribu kuwaza hata marehemu walipigishwa kura na wengine wakalazimishwa kama.yule Mzenji. Kwa kazi hii ni lazima angepanda cheo.
 
Sijajua ni kwanini Nagu kaondolewa uwekezaji,mwenye hints please
 
Inasikitisha sana. Ningekuwa na uwezo wa kupenya ikulu namtwanga rais risasi nyingi sn alafu lzm nile na nyama yake
 
Mzeee bado anaumwa kwakwel kwapale amechemsha ila angeonea huruma hata chama chake mana walikua na pakusemea kwakwel ametukera Watanzania tangu nmfahamu awamu hii amezingua
 
Kikwete amalize tu mda wake atupishe. Hii nchi inasikitisha sana. Kama inafkia hatua waziri anayefanya vizuri kwenye sekta yake anatolewa simply ili wapitishe ulaji wao hapo ndo unajua nchi ina tatizo kubwa. Inasikitisha sana.
 
Kitendo cha Mwakyembe kumtishia mkurugenzi wa TICTS juu ya utozaji exchange rate tofauti na ya BOT,inaonekana ameingilia maslahi ya kigogo kwani mnakumbuka TICTS iliongezewa mkataba wa miaka 25 kimya kimya.Karamagi pale ni boya tuu

Hapa nimekuelewa sana tu nilkuwa nahis tu iko shida mahali huyu akitoka madarakni huyu cjui ?na mwaka huu uishe haraka jamani mi nshachoka na madudu yao.
 
Ni kama wakati ule alipomtoa magufuli miundo na kumpeleka uvuvi!jamaa akawasha moto akamrudisha!sasa hii ya jana ni mshangao mwingine...kumtoa mwakyembe uchukuzi??!!!

Minime choka kabisa mkuu, hili li nchi lingekuwa daladala ningeshuka nikapanda jingine. Mwakyembe alionyesha kweli anachapa kazi kwa umakini na kupunguza wizi, ah, natamani uchaguzi ungekuwa kesho nikaonyeshe hasirazangu.
 
hivi guiness world book record hawatuoni jaman nchi yetu ilivyo na maajabu mengi
 
Mwakyembe kaharibu kala za hayo mabehewa na akawatimua wengine kumbe yeye ndio kala
 
Sijui ni kweli au la, alichosema Tundu Lissu jana kuwa rais akiwa madarakani na hata akitoka HAMNA wa kumshtaki, ana hiyo kinga!! Kama ni kweli, endapo katiba haitabadilika, Tz itaendelea kuwa shamba la bibi daima na milele!
 
Ila suala la Mwankyembe, pamoja na kuwa alikuwa mchapa kazi, hatuwezi jua sisi watu wa nje ni nini kimetokea ndani, yawezekana kuna vitu hatujui, kuna mambo labda Mwakyembe kafanya ya kujivutia yeye mshiko kwa kivuli cha uwaziri wake sababu kiukweli kabisaaaa, kwenda uwaziri wa E.A ni adhabu ile!
 
Minime choka kabisa mkuu, hili li nchi lingekuwa daladala ningeshuka nikapanda jingine. Mwakyembe alionyesha kweli anachapa kazi kwa umakini na kupunguza wizi, ah, natamani uchaguzi ungekuwa kesho nikaonyeshe hasirazangu.

Kuhusu uchaguzi, je upo kwenye daftari la kupiga kura???
 
Inauma sana, hasa pale unapokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko Kiongozi wako wa nchi!
 
Mwakyembe kaondolewa baada ya kuanza kuigusa Home Shopping Centre kule bandarini ....yaani hapo ndipo alipoingia choo cha kike wenzake wanachuchumaa yeye kasimama....mxxxxxx
 
Mmmh TZ ni zaidi ya tuijuavyo, si dhani kama washauri wa raisi wanamsaidia kwa dhati, sijui ilifaa vipi kwa kipindi hichi kifupi kufikia ukomo wa bunge na baraza la mawaziri kuwabadili Mwakyembe na Sitta, je, kuna tija gani? Hapana, haisaidii kabisa, kilichotakiwa.ni kuziba mapengo yalowazi bila kuwagusa wengine, labda tuu kuwapandisha manaibu na kuwapa wengine nafasi hizo, ila tunapiga marktime sana, siasa zinapotosha utendaji halisi wa watu

Kwani rais kakuambiaga anafuata ushauri wa washauri, zile si post tu! Watu wote wanakula timing, useme uachishwe kazi kwa kuonekana mpinzani, anaamuaga mwenyewe na wanae ndio washauri wake na ndio rafiki ake wa ukweli
 
Back
Top Bottom