Mwakye amefanya kaz kubwa kwenye wizara hiyo Ikitokea chama chake kikishinda uchaguzi rais ajaye ampe uwaziri mkuu kabisa asimamie wizara zote.
Kwani nchi inaongozwa na rais au inaongozwa na washauri!?Mmmh TZ ni zaidi ya tuijuavyo, si dhani kama washauri wa raisi wanamsaidia kwa dhati, sijui ilifaa vipi kwa kipindi hichi kifupi kufikia ukomo wa bunge na baraza la mawaziri kuwabadili Mwakyembe na Sitta, je, kuna tija gani? Hapana, haisaidii kabisa, kilichotakiwa.ni kuziba mapengo yalowazi bila kuwagusa wengine, labda tuu kuwapandisha manaibu na kuwapa wengine nafasi hizo, ila tunapiga marktime sana, siasa zinapotosha utendaji halisi wa watu