TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
838
736
TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine

Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye

Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
 
Huu usaili wao waliitwa kimya kimya hata hakukua na pdf la kuwaita kwenye website ya utumishi lolote linaweza kutokea mkuu
 
Back
Top Bottom