Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Mama mi nakushauri usibomoe just kutaka sifa ila kwa kuangalia economic impact badae.
Kubomoa jengo lenye thamani ya sh. bilion moja kisa lipo kwenye eneo lisilo sahihi ambapo huo usahihi unaweza kurekebishwa kwa garama ndogo kuliko bilion moja ni kosa kubwa kiuchumi.
Mi naamanisha kwamba ulipokua ukisikia report za kukua kwa uchumi wa nchi za miaka iliyopita zikisema uchumi wa tz unakua kwa asilimia 6% au 7% ni pamoja na ujenzi wa hayo majengo SO BE CARE FULL MAMA YANGU. MAKE SURE YOU ARE DOING COST AND BENEFIT ANALYSIS FIRST.
Kubomoa majengo kiholela ni uuwaji wa uchumi maana ni sawa na kudroo hela bank na kuzichoma moto. Pia lazima tuwe wakweli maana hawa watu wamekopa kwenye mabank pia. Na je wakati hayo majengo yanajengwa mamlaka za mipango miji zilikua wapi mpaka yakamalizika bila kutoa ushauri??
Mkondo wa maji umezuiwa na maji yanazagaa during rain season, ni hatari tupo, there is more hasara ya hili jengo kwa wananchi due to
maji kukosa pa kwenda na imeingia sehemu ya barabara, unajua Jengo lenyewe? Is where makham hotel ilipo pia, solution make GRound zero mama, safi