Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
yetu macho ....
mama si yuko humu, iko siku tutamwuliza.
Unafikiri hunu atarudi tena na verified id?...
yetu macho ....
mama si yuko humu, iko siku tutamwuliza.
Hayo ndio maneno ya waziri wa ardhi jana jioni.
Habari toka ndani kabisa wizarani ni kwamba mama keshapewa file la ujenzi pale na watu waliofanya environmental impact assessment kumbe walikuwa pesa hivyo bado kuna mambo ya verification on who did what lakini either way mama keshasema kuwa ujenzi not only wa pale Mayfair Plaza si halali bali anasema kuwa hata Mheshimiwa Rais alishasema kuwa ujenzi ule ni at the expense of walalahoi ambao wanaishi Msasani pale jirani na shoppers plaza ambako wakati wa masika mkondo wote wa maji umeelekezwa kwao na wajenzi wa Mayfair Plaza.
Hoja kubwa ya mama ni kuwa tayari rais alishatoa agizo kuwa jengo lile livunjwe hivyo atakacho kifanya ni kutekeleza amri tuu ya bosi wake
Na si hivyo tuuu Mama Tibaijuka amesema mto wake ni huo huo kama alioanza nao na akina Taher Mucadam hivo hao wenye Mayfair plaza kama wana mawakili waweke stand by kabisa kwani matinga tinga yake yako tayari.
ninachojiuliza je atavunja na zile nyumba / apartments mpya nyuma ya Tanesco jirani na hapo hapo Mayafair plaza ambazo inasemakana ni za Mkulu mmoja huko sirikalini? kwa sababu zile nazo wanasema zinachangia kadhia kubwa wakati wa masika kama Mafair Plaza kwa walalahoi waishio msasani.
namini hata hapa atakuwa amekula mpunga ndio maana kimyaa!
akimaliza kubomoa, 2015 tunabomoa ikulu!
Hahaaa ata apply kitu cha multiple id..teheUnafikiri hunu atarudi tena na verified id?...