Mbona ya braza ruge alichukua tena akiwa ni waziri? movie tamuBy Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Maigizo ya kimataifaBy Raymond Kaminyoge, Mwananchi

She is among of those professors................. Wa kikwetu. Hadi una doubt uelimikaji wao, kwani angechukua na kutangaza pale pale kuwa aikabidhi kwa kamati ya maafa kagera angepungukiwa nini? I think ingekuwa na heshima zaidi.
Kwanini watu tuliowaamini sana hasa hawa maprofesa wanatuangusha kiasi hiki?
Wengine wanachofanya kwanza ni kupokea kisha unabaki na kikombe au tuzo lakini pale pale mbele ya hadhira unatoa cash money uliyopewa na kutangaza utampa nani kama ni wa mafuriko sawa nk nk
Amekunywa maji ya betri ya gari mazeli HuyuHaka kamama naona mshipa wa aibu ulishabomoka
KWELI SHETANI AKIZEEKA HUGEUKA MALAIKA. SIAMINI NINACHOKISOMA KWA LE PROFESER KUPISHANA NA MAKARATASI PENDWA, SIAMINI.By Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Mkuu ile aliyopokea ilikuwa ya mboga. Ya ugali ndio ameikataaKhe khe kheeeeeee maadili hayo hakuyajua alipoamua kupokea bilioni 1.6 na kupiga kimya hadi alipogundua limebuma ndiyo akaamua kujitaja kwamba naye kapokea bulungutu.
Mkuu aliona kuchukua za mboga ni ruksa. Za ugali ndio ameona sio sawa kuzichukuaZILE FEDHA ZA MBOGA AU MCHICHA MBONA ALIPOKEA, AMERUDISHA AU BADO NI COMEDY TU KAMA KAWA????????????????????