Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Kuwaelewa wana siasa unahitaji kuwa na moyo wa chuma...
Anatoka Ccm Huo Utamuduni Haupo Mbona Aliweza Kukwapua Pesa Ya Mboga Pale STANBIC Halaafu Saa Hizi Aseme Hivyo......
Haa Check Ras Kule Kagera Kapiga Pesa Pamoja Na Piti Lote
Alikuwa mzima au kalewa? Sisi tunahangaika kupata Nobel Prize, yeye anasema maadili yanamkwaza!By Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Magufuli motoBy Raymond Kaminyoge, Mwananchi

Duh! Mama anaonesha mfano!By Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Dar es Salaam. Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa lakini akakataa kuchukua fedha dola 100,000( zaidi ya Sh 200 milioni) ambazo huambatana na tuzo hiyo.
Alisema alikataa kupokea fedha hizo kwa sababu maadili ya nchi yetu hayaruhusu kupokea zawadi kama hiyo.
Alisema lakini aliwaeleza kwamba katika mkoa anakotoka kumetokea tetemeko la ardhi na kuna maafa.
Alisema wao wataamua cha kufanya lakini yeye binafsi amekataa kupokea fedha hizo.
Kufanya kosa si kosa ila kosa kurudia kosa.Leo ndo anajikuta ana morals
Kwanini asingesema hivyo wakati wanamgawia zile fedha za escrow