Imenichukua muda kufikiri kati ya watu hawa wawili ni yupi ana afadhari katika nchi!! Binafs nimekua na mtizamo huu hapa,
Hawa watu wawili wote hawafai kabisaaaa katika taifa lolote . Lkn unapochambua kila jambo hukosi zuri baya na baya zaidi. Je kat ya fisad na dicteta nan afadhali??
Kuna tabia hawa watu wana fanana, nayo ni ubinafsi. Wote hawataki wengine wawe na vitu ambavyo yeye anavyo . Fisad anataka kujinufaisha yeye tu , lakn naye dicteta anataka kujinufaisha yeye tu bas, kisiasa na kiuchumi. Dicteta anataka asikike yeye tu , fisad anataka awazd wote kiuchumi.
Kwa kifupi binafs naona fisad ana afadhari, Huchukua mali kadhaa japo haridhiki. Anaweza kutaman na zingine Lakn athali zake sio kubwa kama za huyu dicteta. Sababu mjue dicteta lazma pia awe fisadi. Nchi zote zilizotawaliwa na madcteta viongozi hao huwa na utajili wa kupindukia!! Lakn fisad unaweza kumdhibiti. Dicteta huwez kumdhibit maana yeye ndio kila kitu! Dicteta huwa yeye ndio mahakama , police yaan kila kitu ni yeye. Hata kifo cha watu hutembea nacho! Maana dicteta lazma uwe mtawala.
Lakn kubwa kuliko yote duniani hutafutwa uhuru, nchi zinaomba uhuru ndan yake vitapatikana na vingine. Lakn dicteta hatoi uhuru wa kusema lolote kufanya lolote kwenda popote. Fisad anaweza kuwa ndan ya nchi huru lakn nchi inayotawaliwa na dicteta sio huru hata kama anatawala mzawa.
Sitegemei nchi yangu kutawaliwa kidcteta maana athali za udcteta ni kubwa sana, ila wale wenye hofu na udcteta tusiwabeze hao hupambana na mambo mawili kwa wakati mmoja, udicteta na ufisad hvi vitu huwa havitengani. Na kingine kwenye nchi ya kidcteta hutapata wasaa wa kumsema fisad hiyo nafas huna. Kiongoz wako ambaye ni dicteta ndio kipimo wa kila kitu. Akisema lugum Acha hamna wa kujadili.
Mungu ibariki tanzania yangu isiwe na dicteta wala fisadi. Wote hawafai.