Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

mpaka wa haki ya mtu unaanzia wapi nakuishia wapi?
 
Nyie mmeanza kulalamika wananchi wa hali ya chini wameshaanza kufurahia na kuina matunda yake muda mfupi tuu.

Ili tuendelee viingozi hawa bora wawe madikteta ili wananchi wapunguze kulalamika na maisha yatakwenda vizur na mahitaji yatapatikana kwa wakati.
 
Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right


Tunapenda Magufuli awe dictator kwa miaka 10 ijayo ili heshima ya Tanzania na utumishi wa umma irejeee...
 
Katiba inamruhusu Rais kuondoa au kuweka likizo yoyote. Hayo yote umeyataja hapo juu ni cost za changes in Tanzania ambazo lazima tuzipate kwanz ili kuoata Tanzania mpya. Otherwise Magufuli yupo right kabisa. Ipo siku tutaona umuhimu wa haya anayoyafanya.
 
Wale waliokuwa washenzi wanakula jasho letu walikuwa hawaji humu jf kusoma manung'uniko yetu sasa leo wenyewe wameanza kuingia jf na kuzungumzia udikteta baada ya kuona njaa inawanyemelea
 
Jeshi la mtu mmoja. Hata hatuongelei baraza la mawaziri tena.
Tulionewa vya kutosha, tulinyanyaswa vya kutosha, sasa tumempata mkombozi!
 
Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right

Pole kwa kutumbuliwa jipu...mwenza yupo mamlaka nini?
 
Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right


kwa hiyo wezi na majizi waikamatwe??
 
Potelea kwa mbali hata awe zaidi ya Hitler! Huo utawala bora WA Kikwete ulitusaidia nini wananchi WA kawaida??? Kama anayofanya hayawagusi wachache basi yanawagusa wengi Maskini wa nchi hii! Mama yangu kule Mpwapwike wala hataki makuu, anataka akiumwa akienda Hospital ya Serikali akatibiwe, anataka maji Safi Na salama, mjukuu wake aloachiwa Na mwanaye aliyekufa kwa Ukimwi apate elimu bora kwenye Shule za Serikali, anataka Barabara ya rami Ili akivina vigunia vyake vya Mahindi apakize kwenye Gari akatafute bei nzuri, anataka umeme angalau afunge Ice cream Na kuwauzia watoto, hivyo Tu ndiyo Bibi yangu kule Nanjenga anata, mkifanya hivyo yeye hata akisikia sijui Kuna watu wameiba pesa za Escrow sijui Epa, Richmond wala hatajari....Vyote hivyo hamfanyi, mnataka Kula peke yenu Na familia zenu, washenzi Sana nyiw wauaji, Kama umetumwa au Ni mawazo yako wenzako, Shenzi zenu!
 
Kama demokrasia tunayoipigania ni hiyo ya kuwaacha watu wachache kuwaibia wengine bila huruma tena kwa kutumia dhamana na madaraka waliyopewa basi ni bora nchi iendeshwe kidikteta tu.

Ni bora udikteta unaokomesha wizi kuliko demokrasia inayojenga na kulea wizi.

Watu wanakufa kukosa madawa eti demokrasia
Huu upumbavu tusi ukubari kabisa
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Wewe ni jipu utumbuliwe tu. Mlizoea kubebana tu na kupeana likizo wakati nchi iko kwenye Ethics crisis , na financial crisis, lazima tuweke udictotor. Mtu mmoja anazuia mradi wa maji kwa kukimbilia mahakamani anajua anapata zuio la Mahakama wakati watu elfu kadhaa hawana maji Safi na salama. Acha tunyooshwe jk alitudekeza mno
 
Udikteta upo tangu zamani ww ndo wauona Leo?? na bado hata kuvunja amri ya sita mpangiwa muda maalum sio kukurupuka tu usingizin wataka
 
Back
Top Bottom