Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

China (nchi ya kijamaa) walivyo geuza uchumi wao kuanzia mwaka 1945 ambao ulikuwa chini kuliko tanzania ya wakati ule hadi kuwa nChi ya ulimwengu wa kwanza (inayo kopesha Marekani); Walikuwa na adhabu kali zaidi (sitaki kuzitaja hapa) sio kuwafukuza kazi tu watu walioletea hasara Taifa ya Mabilioni kwa ajili ya kujinufaisha wenyewe.
 
EL ndio nani mimi sijamtaja na wala simjui mimi nimeusisha tuu mfanano wa majina ya LEMAYAN na LENGWANAN kwa uzoefu wangu wa kuishi kanda ya kaskazini
Upo sawa, Lemayan ni masai kama Laigwanani.
 
Porojo za namna hiyo ndio zilizotufikisha HAPA, naunga mkono matendo na maamuzi ya mtani wangua Pombe. Nchi kwasasa inahitaji rais dikteta, hakuna wafanyakazi wazembe kama waajiriwa wengi wa serikali. Makonda ulichokifanya nakiunga mkono.
 
kitabu chote hicho umehotojeka pumba tu

Kama anachokifanya ni udikteta ndio tunachokitaka, na ndio tulichomchagulia, na kwakuwa anatuwakilisha sisi basi afanye hichohicho tunachokitaka..

Kama we ni moja ya jipu, endelea kutumbuka kimya kimya
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Assad tambua tulipofikia atuitaji kiongozi aina ya kikwete nikweli usemayo lakini ili tutokeapa tulipo tunaitaji dictator maana wafanyakazi wengi wa serikali wamezoea kufanya kazi kwa mazoea akuna jinsi acha atunyooshe labda sasa kila mmoja atatambua umuhimu wa kuipenda nchi na kufanya kazi kwa maendeleo ya Taifa.
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

CCM mtaisoma namba mwaka huu. HAPA wqpinzani tuko poa tu na kasi ya Magufuli. Utawala wa sheria wa kina jaji Utamwa na Auguastini Ramadhani? Go Magufuli , go.Na usiache kufuatilia wind up ya Home ahopping center!
 
Ubabe bila akili = kufeli. Dunia ya sasa udikteta hauna tena faida, sasa ivi inahitaji mfumo mzuri, ufatiliaji mzuri, utekelezaji mzuri, uongozi bora, nk ili nchi iendelee. Kina Hitler ni wakati ule jamani

hayo yote tumekuwa nayo,yametusaidia nini?... tumechoka..tunahitaji maendeleo zaidi kuliko hayo unayoyataja..,
 
Hahahahaha na akiendelea na moto huu huu, uzae matunda vizuri basi tumuache atuongoze hata kwa miaka 25 hadi 30
 
hayo yote tumekuwa nayo,yametusaidia nini?... tumechoka..tunahitaji maendeleo zaidi kuliko hayo unayoyataja..,
Unachekesha. So untaka tusiwe na uongozi mzuri, ufatiliaji na utekelezaji mzuri then utegemee maendeleo!!
By the way Tanzania bado hakuna uongozi mzuri, ufatiliaji na utekelezaji mzuri. Pia hamna uzalendo
 
Uongozi ni nini?
 
Nchi zote zilizoendelea zilipita kwenye udikteta kwa wakati Fulani, Africa ya kusini, korea ya kusini, marekani, china na nchi zingine ni royal family kama Sweden UK Belgium Qater

Umesahau Libya ya Gaddafi. Ni ubabe bin udikteta wa kujali maslahi mapana ya nchi na wananchi wake.

Viva magufuli
 
Wavunja sheria na wahuni wa ovyo ni wale wala rushwa, mafisad, wazembe makazin na nk
 
hii ndo tz [color/]

wakuu wa kila sekta nao wababe wanatekekeza ilan ya hapa kaz tu [color/]
cc tusio na vyeo ni mpwitepwite tu hata lkzo nmekataliwa kuondoka kituo
 
Nampa bigup mr president yko sawa.tatizo mshazoea mteremko .acha mawazo ya kijima kaka
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Kwa nchi ilipofikia bora tu awe dikteta ili mambo yaende..... Namuunga mkono moja kwa zote #samahanilakini
 
Back
Top Bottom