mkuu humu MMU sioni makundi coz inategemea na threads zikija za free p nipo against ila akileta za kutooa mapema nipo nae.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza totoro mkuu...
Siasani makundi wayaona kwa kuwa yapo hadharani, huku MMU ni ngumu kuyaona kwa kuwa yanafanyika 'jukwaa la pm'...
Wanasema kuona huja baada ya kutazama na kutazama ni matokeo ya kuangalia, hadi sasa pengine wewe upo kwenye stage ya kuangalia au kutazama na hujafikia kuona...
Mabwaku... Kumbe kuna jukwaa la PM??
Tunaomba mods waweke access free ili ukitaka kuona pm za mtu fulani unaziona tu....
Naona mzuka umepanda sio....
Hahaha charminglady hapo sasa unaruka ukuta. Itakuwa balaaa
Unazan ana lolote tena anajifanya kuja kwa pm yang na ids mpya ili nmjib apate chakuleta apa hana uthibitishooi na leo namsubir kwa hamu tena nahic leo ban inanihusu maana atajutr
Itakuwa poa sana... Kuna mtu natamani kuona PM zake aiseew, ila tuseme ukweli. Kama mods wana access ya PM wanafaudu!!!
Cjambo mkuuu mzima weyee???
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza totoro mkuu...
Siasani makundi wayaona kwa kuwa yapo hadharani, huku MMU ni ngumu kuyaona kwa kuwa yanafanyika 'jukwaa la pm'...
Wanasema kuona huja baada ya kutazama na kutazama ni matokeo ya kuangalia, hadi sasa pengine wewe upo kwenye stage ya kuangalia au kutazama na hujafikia kuona...
Hahaaaa kuna mbea et alinipima mimba kwa pm na cna mbele wala nyuma cjui yy ana io mbele.....wasje wakafuta na huu
Ahaaaaaa!yule Dk.wa macho na sijamuona sijui anakuogopa teh!teh!teh we muache tutamnunulia keki na shampeni tumsute kizungu sie
Usilewe sifa sasa na wewe oooo