thread ya kuchakachua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

thread ya kuchakachua

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Sep 19, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wadau nipo tu sasa napumzika hivyo natafuta thread yoyte ya mtu niichakachue bila kupewa BAN,

  tena kabla sijafika mbali nashukuru sana bodi kwa kutusaidia kujua pia serengeti boys tulio nao hapa..... au madam FF alishtukia mapema ndio maana akakimbia? wapi ako Rejao? na dada Cantalisia? shushushu wa chitchat Preta tunaomba list mpya ya kapo za chitchat.... halafu udaku editor Bishanga? toleo la mwisho lilitoka lini? Erickb52 una tabia kama makabila ya pwani japo hutokei huko!! wao kila siku sherehe tuuu!!! kuna kijana alikuwa anaitwa The Finest kuna mtu kamuibia modem yake? na yule kijana al maarufu kama babu japo usijeshangaa ukakutana naye mazingira ambayo hutarajii anaitwa Asprin.... leo uko wapi? sweetlady utuletee basi utabiri wa hali ya hewa kwa Arusha... poleni kwa kuvunjiwa NMC..... pakajimy after NMC what follows? Bujibuji kazi zinakwenda? kwa wale wa serikalini jamani muda wetu saa tisa na nusu umepita zamani tuu na wale wa private naona ka muda kenu kamekaribia na kwa walinzi now ni saa 12 asubuhi......


  mpo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mimi hapa ndio panihusu....Ndio najiandaa kuingia shifti ya usiku leo. Nimemwacha mke wangu Cantalisia analea. Nimempa ban ya kuingia JF kwa kipindi hiki...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Yanga washapigwa goli moja huko Jamhuri...
   
 4. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  bro Rejao nilitaka nikutupia ka- like lakini kwa suala la kumpa ban dada yangu Cantalisia nimeahirisha kukupa like.... usisahau koti la mvua hazitabiriki sana siku hizi... bai ze way habari kaka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hah!! dakika ya ngapi hiyo?
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aisee hapo sikubaliani na wewe kabisa. like yangu naihitaji!! Nimeshai recognize tayari!! Mwanetu hatutaki kumpandikiza genes za JF mapema yote hii, ndio maana nimeona mama watoto apumzike kwanza!!
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Arusha hali ya hewa kwa sasa ni nzuri hivyo twawakaribisha wote wanaopenda joto....ila wale wenye aleji na vumbi wasithubutu kujileta huku!

  Huyo kijana aitwae The Finest hajaibiwa modem ila alikuwa anatumia lap top ya jirani yake .....sasa bahati mbaya yule jirani kahama!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nasikia wamepigwa tatu bila.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Yeah, tatu kama **** Yeung! Ndio madhara ya kulala wawili wawili...
   
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  uuuwi una maana Lizzy kule ungaltd ana hali mbaya!! Erickb52 hivi kale kagari kako kana ac kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dah nyie hata hamchakachui thread ila mnapandisha watu hasira... yatakayowakuta mie simo!! Preta wewe sio yanga kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  gari ya erikb52 haina ac, aliifunga pangaboi. Hata air bags hana kawekesha kwa rambo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  \hivi ile binduki yako umetupa wapi maana akija na marungu yule brazza!!! mie nakuruka ati!! hi King'asti?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  hayakuhuu!
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2013
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Dah.. Joto kali ngoja nikajimwagie maji!
   
 16. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2013
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280

  charminglady hivi upumzika wa wkend hii?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2013
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa mkuu... au hangover ya jana bado haijaisha??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2013
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Jaman nimeambiwa thread ya kuchakachua. jana tulikunywa maziwa aisee
   
 19. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2013
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,735
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  aahh kumbe upo mi nimenogewa na huu ubaridi wa arachuga bado nipo nipo sana
   
 20. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2013
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mtu mmbea utamjua tu...mdomo unakuwa mweusiii! Jiwe Linaloishi nimekukosea nini lakini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...