This world is not physical, this world is a simulation

Our mind is what bends everything, it can even bend your body, ata evolution huanza akilini
Kuna vitu vingi nilikaa nikajiuliza, adi naandika hivi i mean what i sayView attachment 1408396

Sent using Jamii Forums mobile app
That's it?
Don't you have any solid evidence to support what you just said?
I am sorry I don't mean to offend you but please go back to your library and finish your work. Then back up your theory with proof Watery.
 
In Science Yes. Ukiona wanasayansi wameita kitu theory jua kwamba kuna incredible evidence behind it. Japokuwa inaweza kuwa proven false.

Unaweza, kunipa mfano wa theory hata moja yenye Proof ? Usiseme maelezo yao ndio "Facts au Evidence".

Kwa mfano,Newton's law of Universal Gravitation" ni ndharia au facts ? Proof yake ipo kwenye makaratasi au katika uhalisia ?
 
Well I am not an expert or scientist but AFAIK in science there are no 100% facts or absolute truths. You can never 100%prove anything. Ila theory ikishafanyiwa observation many times na ikawa na matokeo sawa inachukuliwa kama fact.
 
Sababu umekiri sio guru katika hili,ngoja nikuache nisikuchoshe.

Vipi mzima lakini ?
 
Ndio ukiniuliza maswahi mazito utanionea.
Japo sio expert ningeweza kukujibu kama expert sema wewe tungesumbuana sana.

Mie mzima sijui wewe.
 
Ameandika kidogo sana. Hii mada ni nzito ilitakiwa ziwe paragraphs za kutosha.
The only thing that is real is ur mind, and other things become real when ur mind believes they are.

_ Mfano pain is the way ur brain tells u there is some kind of a physical danger, that means every reality is generated in ur brain. People with hallusinations wanaweza kutengeneza reality nyingine tofauti na ile tunayoiona kikawaida.

_ Kama kila reality is generated in our brains, and we have different brains with different efficiency je anachokiona mtu mmoja is it exactly anachokiona mtu mwingine ?? If so it is, whats real??

_ Tuchukulie mfano wa light na colour vision, nakumbuka darasani tulifundishwa kwamba visible light is made up of differnt colours (je ni kweli?) Is it not that our brains have some how managed to differentiate different wavelengths of light in the visible spectrum and that difference appear to us as colours? (An that is why we have colour cells in our retina) If so it is, is it possible that ur vision of a certain color is different from my vision of that particular colour ( is ur green my green? )?? If it is, is color vision even real?

_ Kwa tuliosoma sayansi we believe that matter is made up of atoms and an atom is made up of nulceus (proton+ neutrons) with electrons around the nucleus. If like charges repel each other is physical contact even posible?? If so it is, Why do we feel the touch when we are touched?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ukiniuliza maswahi mazito utanionea.
Japo sio expert ningeweza kukujibu kama expert sema wewe tungesumbuana sana.

Mie mzima sijui wewe.
Umeona sasa unavyotaka kuminyana na mimi, nitakuminya ohooo, au unabisha ?

Niko salama kabisa.
 
It only have its own rules, chochote kile utachodhani ni physical, unaweza pia kukipata kwenye ndoto
Ukilala ukaota unaanguka mwili wote utahisi kweli unaanguka, ukiota unafanya mapenzi itakuwa hivyo pia,

Sisi ni wafungwa kwenye hii dunia ambapo ubongo wetu ndo kiunganishi chetu na mahali apa

Sent using Jamii Forums mobile app
= It has its rules.

Nnakushauri andika Kiswahili pekee utawasilisha mawazo yako vizuri zaidi.
 
The only thing that is real is ur mind, and other things becomes real when ur mind believes they are.

_ Mfano pain is the way ur brain tells u there is some kind of a physical danger, that means every reality is generated in ur brain. People with hallusinations wanaweza kutengeneza reality nyingine tofauti na ile tunayoiona kikawaida.

_ Kama kila reality is generated in our brains, and we have different brains with different efficiency je anachokiona mtu mmoja is it exactly anachokiona mtu mwingine ?? If so it is, whats real??

_ Tuchukulie mfano wa light na colour vision, nakumbuka darasani tulifundishwa kwamba visible light is made up of differnt colours (je ni kweli?) Is it not that our brains have some how managed to differentiate different wavelengths of light in the visible spectrum and that difference appear to us as colours? (An that is why we have colour cells in our retina) If so it is, is it possible that ur vision of a certain color is different from my vision of that particular colour ( is ur green my green? )?? If it is, is color vision even real?

_ Kwa tuliosoma sayansi we believe that matter is made up of atoms and an atom is made up of nulceus (proton+ neutrons) with electrons around the nucleus. If like charges repel each other is physical contact even posible?? If so it is, Why do we feel the touch when we are touched?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi amini imegoma kuingia akilini.
Sijui akili imechoka au ni mambo yaliyonizidi uwezo.
 
Sijui hata alikuwa anaongelea nini ndio maana na mimi nimeishia kumuuliza maswali.
Ngoja nisaidie kidogo kutoa maelezo ya alichomaanisha.

Ni kama wewe unavyokuwa kwenye ndoto ukiwa umelala. Unakuwa unatembea, unakula, unakimbia etc, yaani vyote ambavyo unavifanya kwenye so called physical world na kwenye ndoto huwa vinafanyika na unakuwa huna ufahamu kama ile ni ndoto, unaona kama kitu halisi.

Sasa inawezekana hata haya maisha ya kawaida tupo kwenye ndoto fulani endelevu, ila kwa kuwa bado tumo ndotoni hatuna ufahamu tunaona ni vitu halisi.

Sijui kama nimeeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom