Katika pitapita zangu na kuuliza watu kuhusu ndoto, nilichogundua ni kuwa watu wengi hawakumbuki ndoto wa azoziota, wengine wanaamini kukumbuka ndo ni vibaya na unaweza kupata laana mda wote
Katika mwili wa binadam ubongo ni moja ya vitu visivyolala, hivyo basi kama hujalala unafanyanini, apo ndo jibu la ndoto huja(upande wa akili tunaohisi unalala tunapochoka)
Mimi ni moja ya watu wanaokumbuka sehem kubwa ya ndoto zetu, kwa siku naweza kuota ata ndoto kumi na nikakumbuka ndoto tano au sita vizuri nyingine nikakumbuka kidogokidogo, nikiwa ndotoni japo sina mwili na baadhi ya viungo kuniwezesha ila akili inachukua jukumu lote na kunifanya nijisikie kama binadam aliekamilika japo mwili umelala
Tukichukulia mfano mzuri sehem ya sikio la kushoto ndo inatuwezesha kusikia na kurekebisha balance ya mwili, ila ingawa ndotoni haipo tunapata balance na mda mwingine tunapoteza balance na kujisikia hivyo, ndotoni pia uwa na hisia zote za kuishi ila tofauti ni kuwa kule ni kama dunia nyingine
Kitu cha kawaida binadam wanachoongelea ni kuota unaenda kukojoa, ndoton unafata choo maana kubanwa na mikojo ni kitu kilichoingilia ndoto zako ghafla bila ya akili kujua na kugundua kama uko ndotoni au upo kwenye maisha ya kawaida, na kwakuwa ndo jinsi tulivyo kuwa programmed kuwa hivyo ndo maana inatokea hivyo, otherwise ingetokea ukakojoa automatically au kingine ila sio mtu mzima na macho yake na miguu yake anaenda chooni, na pengine hyo choo unayoiota sio unayoijua, ni mazingira mengine kabisa
So our brain is so familiar with the world kuliko binadam wahisivyo
Vitu vichache tu visivyo kwenye the "laws of the world" ndo huichanganya akili yetu, maana ni vipya kwenye huu ulimwengu
Mfano
1- Ukipindishwa kichwa chini miguu guu utaona kawaida, ila dunia yote ya mbele yako ikipindishwa juu chini we ukawa kawaida kichwa kitauma, ni kama kwenye game la computer kufanya kitu kisicho kwenye codes za computer, lazima gem ligande(li crush)
2- kuna vitu vingine vinachanganya akili kama ukioneshwa, na ukijaribu kuifikilia kwann akili inakuwa hvyo huwezi kuelewa, hyo kwenye magemu ni kama unacheza gem unashangaa character wako anafanya vitu usivyovielewa na gem linaendelea kama kawaida
,,Hii ni kama
(Zimegoma ku-upload)
Sent using
Jamii Forums mobile app