Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,830
Magu ndo anapenda viongozi wa namna iyo, ukiwa msimamia haki au mtetezi wa wananchi we kwake ni sawa na mpinzani na atatengua uteuzi wako kama kina NAPEHawa ni watu ambao watakapoondolewa madarakani na kutupwa nje.. wataanza kuelezea kuwa "walipotea tu". Labda anafikiri kwa vile ni Mkuu wa Mkoa basi yuko juu ya sheria. Sasa polisi na mahakama zina kazi gani? Lengo zima la kuwa na sheria na vyombo vya dola ni kwa sababu jamii imeendelea na haitaki kila mtu kuwa mshtaki, jaji na mnyongaji! Huyu ni kiongozi mbovu. Ila asipoangalia anaweza kuishia kama Ditopile.